Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Too much aisee hata kama ni mahaba hawana mengine ya kufanya Wema naye hiyo team yake wawe na kiasi kwahyo hapo wanataka kumukoa Zari hayo sasa ni majanga
mbembeleze alale afu umsogezee mto atajua ni wewe, we uhamie sebleni ha ha haUwiiiii mpenzi leo utanisamehe tu shemeji yako kanibana hata kupiga umbea nashindwa...lol
sina ukika na shughuli yake ila ni mtu pesa, leo kapost picha yupo kiwandani kwake uuh coments 200 watu wanapiga story za wema, dai na zari...if possible angeblock wabongo wote make tunamkanyagia waya tu kwenye page yake ha ha ha
Hiyo timu yke wote vyupi kunuka wauza papuchi wasio n kazi,wema atakalia sifa istead y kufanya maisha yke n siku zinasonga cku akistuka kawa mbibi
Hivi Diva Beyonce nimekukosea nini? Mimi ni mtoto wa mwanamke mwenzio.
mbembeleze alale afu umsogezee mto atajua ni wewe, we uhamie sebleni ha ha ha
Nawashangaa sana wanavotoka povu kama watoane meno eti team mxyuuuu upuu uzi tu,wema nae mwache aendelee kujifanya hazimtoshi...Hiyo timu yke wote vyupi kunuka wauza papuchi wasio n kazi,wema atakalia sifa istead y kufanya maisha yke n siku zinasonga cku akistuka kawa mbibi
Hivi Diva Beyonce nimekukosea nini? Mimi ni mtoto wa mwanamke mwenzio.
Nawashangaa sana wanavotoka povu kama watoane meno eti team mxyuuuu upuu uzi tu,wema nae mwache aendelee kujifanya hazimtoshi...
Na safari hii anahangaika kama anataka kutaga....Uliiona video ya birthday yake? kuna sehemu wanaingia na keki....yani wamejichokeaa, mkorogooo.....yani ni Shida...
Na kwa mwendo huu kakake Platinumz ataendelea kumchezea hadi basi...manake anaonekana ana mahaba Niue hadi akiachwa anapapatika....
Hahahahaaaaa uwiiiiii mbavu zangu mimi!!!!
Na safari hii anahangaika kama anataka kutaga....
Nawashangaa sana wanavotoka povu kama watoane meno eti team mxyuuuu upuu uzi tu,wema nae mwache aendelee kujifanya hazimtoshi...
Uliiona video ya birthday yake? kuna sehemu wanaingia na keki....yani wamejichokeaa, mkorogooo.....yani ni Shida...
Na kwa mwendo huu kakake Platinumz ataendelea kumchezea hadi basi...manake anaonekana ana mahaba Niue hadi akiachwa anapapatika....