Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Too much aisee hata kama ni mahaba hawana mengine ya kufanya Wema naye hiyo team yake wawe na kiasi kwahyo hapo wanataka kumukoa Zari hayo sasa ni majanga

Wema ataanzia wapi kumkomoa zari, ye akomoane tu na kina kajala hao ndo level yake, na hicho wanachofanya wanajiaibisha tu
 
sina ukika na shughuli yake ila ni mtu pesa, leo kapost picha yupo kiwandani kwake uuh coments 200 watu wanapiga story za wema, dai na zari...if possible angeblock wabongo wote make tunamkanyagia waya tu kwenye page yake ha ha ha

Hiyo timu yke wote vyupi kunuka wauza papuchi wasio n kazi,wema atakalia sifa istead y kufanya maisha yke n siku zinasonga cku akistuka kawa mbibi
 
Uliiona video ya birthday yake? kuna sehemu wanaingia na keki....yani wamejichokeaa, mkorogooo.....yani ni Shida...

Na kwa mwendo huu kakake Platinumz ataendelea kumchezea hadi basi...manake anaonekana ana mahaba Niue hadi akiachwa anapapatika....
 
Uwepo wa majobles wengi nchi hii,na wanafunzi wasio bize ndo unasababisha kuwepo kwa hizi timu uchwara....aaaagh ushuzi tu
 
Hiyo timu yke wote vyupi kunuka wauza papuchi wasio n kazi,wema atakalia sifa istead y kufanya maisha yke n siku zinasonga cku akistuka kawa mbibi
Nawashangaa sana wanavotoka povu kama watoane meno eti team mxyuuuu upuu uzi tu,wema nae mwache aendelee kujifanya hazimtoshi...
 
Hahahaaaa yaan nikiingiaga insta siishi kucheka team zari inanifurahishaga jaman uwii.....iyoo ya miguu ka fagio nlichekaa mm nusu nizimie
 
Attachments

  • 1417719609191.jpg
    1417719609191.jpg
    50 KB · Views: 414
  • 1417719630942.jpg
    1417719630942.jpg
    38 KB · Views: 405
  • 1417719661490.jpg
    1417719661490.jpg
    46.5 KB · Views: 407
  • 1417719679654.jpg
    1417719679654.jpg
    45.3 KB · Views: 395
Uliiona video ya birthday yake? kuna sehemu wanaingia na keki....yani wamejichokeaa, mkorogooo.....yani ni Shida...

Na kwa mwendo huu kakake Platinumz ataendelea kumchezea hadi basi...manake anaonekana ana mahaba Niue hadi akiachwa anapapatika....
Na safari hii anahangaika kama anataka kutaga....
 
Angetulia zake tulii kama hayupo....Kukaa kimya ni jibu tosha, hata kama anaumia angejililia chumbani akitoka nje full masmile...lakini hivi anavyowafatilia ndo anajishusha....

Angefanya yake tuu....
 
Nlichekaa walivokua wanamtetea boss wao wema et ivan ndio alianza kum follow yye wema ndio aka mfollow back nlichekaa plesha zna washuka et wanamwambia zari nyonyo limelala ka ndala loh bora mwenzie kazaa kuliko yy wema atujui ka anakizaz au vp na mikorogo yake
 
Hiyo anajitabishaa nakufedhehesha asoinua mikono juu...
 
Nawashangaa sana wanavotoka povu kama watoane meno eti team mxyuuuu upuu uzi tu,wema nae mwache aendelee kujifanya hazimtoshi...

Wengi wao hawana kazi dats y kutwa wko n tecno zao kumsifia ujinga.ukiona m2 anamshabikia wema hajielewi maisha yke location kila cku
 
Uliiona video ya birthday yake? kuna sehemu wanaingia na keki....yani wamejichokeaa, mkorogooo.....yani ni Shida...

Na kwa mwendo huu kakake Platinumz ataendelea kumchezea hadi basi...manake anaonekana ana mahaba Niue hadi akiachwa anapapatika....

Domo kashajua papuchi y free hiyo acha agonge mpka itoke sugu.cdhani kma anajielewa huwa anajifanya msichana kumbe mbibi sifa zina mwisho wake n mashabiki wke ndio hao wa uswazi,sura zenyewe zimechoka n maisha
 
Back
Top Bottom