Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Too much aisee hata kama ni mahaba hawana mengine ya kufanya Wema naye hiyo team yake wawe na kiasi kwahyo hapo wanataka kumukoa Zari hayo sasa ni majanga
Wema ataanzia wapi kumkomoa zari, ye akomoane tu na kina kajala hao ndo level yake, na hicho wanachofanya wanajiaibisha tu