Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Duh mbona wanamuaibisha jameni hadi hiyo ya michirizi!!! My Gossshhh!!Nlichekaa walivokua wanamtetea boss wao wema et ivan ndio alianza kum follow yye wema ndio aka mfollow back nlichekaa plesha zna washuka et wanamwambia zari nyonyo limelala ka ndala loh bora mwenzie kazaa kuliko yy wema atujui ka anakizaz au vp na mikorogo yake
Duh...hatari...halafu kuna watu wanasema huyu mdada ana Classy....really?!!!!
Angejiheshimu hiyo team yake pia ingemuheshimu...
Ila yote haya kisa Kigoma line....heheheeee.....Dai wagaie hivyo hivyooo hadi wapate kichaaa...
cc: Paula kilaki Dinazarde
Iv Hizi Team zinalipwa Eeh Maana naona Hawana kaz za kufanya...sasa wema ndo atakua ana mkomoa ndomo au zari?
Uliiona video ya birthday yake? kuna sehemu wanaingia na keki....yani wamejichokeaa, mkorogooo.....yani ni Shida...
Na kwa mwendo huu kakake Platinumz ataendelea kumchezea hadi basi...manake anaonekana ana mahaba Niue hadi akiachwa anapapatika....
Huyu Wema amekaribia kuokota makopo kabisa Diamond anamtesa sana!
Duu huyu ni wakupimwa kabisa ndio maana ana dhalilishwa kila siku lakini hachoki kabisa!
Huyo Ivan anajishughulisha na nini hasa?Wema size zake kina penny ndio wanaweza kugombania bwana sasa kwa zari si ataonekana housegirl? Dinazarde nifah Khantwe miss neddy @Gernivous sitaki baadae kuanza kuombwa kumsimulia mtu njooni wenyewe mjionee
hahahaha Mwl hiyo ya kumwaga mboga na kutoboa sufuria huwa inaniacha hoi sana!
Kuna wanawake wanapenda kujidhalilisha Wema anaongoza! hayo anayo yafanya ni sawa na kujiuza kabisa!
Hivi mzazi wa Wema huwa Anafurahishwa kabisa?
Location na club tu utadhan ka DJ..Wengi wao hawana kazi dats y kutwa wko n tecno zao kumsifia ujinga.ukiona m2 anamshabikia wema hajielewi maisha yke location kila cku
Yule mama na mwenyewe ni full majanga... nadhani marehemu Isaac Sepetu alimvumilia mengi sana manake, mnh... si ajabu hata huko Instagram yupo akichambana na vibinti vya Team Diamond na Kajala!! Na kama ana mtoto wa kiume, basi am very sorry for him manake akina nyinyi mnajuana wenyewe!wahisi ukiwa na mama kama wa wema atakuwa anakuongoza kweli katika mema?
Kama ameweza kutoa mitusi mikubwa vile basi lazima ataona mwanae anafanya sawa tu.