Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Kwani umekula omo? mbona unamwagika povu bila mpangilio? hebu relax af uje tena

Vipi nilichoandika kimekugusa nini?maana bado sijakuelewa nini kilichokusukuma kuni attack ama Kiswahili changu hapo juu hakijaeleweka?
 
hahaha yani Wema ana lazimisha kurudiana na Diamond hadi wanafikia kumchafua Dada wa watu kiasi kile duu!
 
Mmmh hv kati ya mm na wewe nani kamuattack mwenzie? mi namuongelea celeb wema ukaja na povu lako
 
Loya wangu Ruttashobolwa..... huyu dada (bosiledi)picha si zake??????

wana mchafua tuu siyo zari mwenyewe! Unajua Wema na timu yake wana hangaika sana tena sana!

hahaha yani Wema ana lazimisha kurudiana na Diamond hadi wanafikia kumchafua Dada wa watu kiasi kile duu!

Na hajakana...... ila amesema kuwa kuna mtu amezi-liki???

Au mie ndio sijui kiinglishi??
 
Attachments

  • 1417793541091.jpg
    1417793541091.jpg
    90.7 KB · Views: 278
  • 1417793558540.jpg
    1417793558540.jpg
    84 KB · Views: 247
Last edited by a moderator:
Una uhakika?!

Nime connect dot baada kwa mala ya kwanza kuzikuta kwa swahiba wa Wema japo zilianzia Uganda! wakisema kukamata wahusika hata anaye sambaza haachwi maana ni wazi kuna uhusiano mkubwa kati ya kuachana kwa Wema na Diamond na kutokea kwa hizi video!
 
Loya wangu Ruttashobolwa..... huyu dada (bosiledi)picha si zake??????

Na hajakana...... ila amesema kuwa kuna mtu amezi-liki???

Au mie ndio sijui kiinglishi??

Mimi nimeziangalia clip zote ziko kama tatu yani ni vitu tofauti kabisa ni mchezo wa kuchanganya picha! kwa maoni yangu kilicho fanyika ni kuchanganya picha kuna sehemu inaonesha shingo ya muhusika ni tofauti na clip ya pili!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimeziangalia clip zote ziko kama tatu yani ni vitu tofauti kabisa ni mchezo wa kuchanganya picha! kwa maoni yangu kilicho fanyika ni kuchanganya picha kuna sehemu inaonesha shingo ya muhusika ni tofauti na clip ya pili!

Kamsome Le Mutuz Rutta
 
Zinapatikana wapi hzo vudeo jaminii? Yuko na kaska platnumz au?
 
Yuko mwenyewe ana ji laveda.... mie ninazo au kama uko insta nenda akaunti ya wemadacutewangu" utazikuta

Heaven mie sijaelewa yani nani anayejilaveda?Zari au wema?Yani wema kwa jinsi alivyokong'oroka na michubuo yake angekaaa tu atulie apate pedeshee lakumaliza nae kabla hajaanza kuonekana bibi
 
Yuko mwenyewe ana ji laveda.... mie ninazo au kama uko insta nenda akaunti ya wemadacutewangu" utazikuta

Sipogoo insta shoga angu duuh. Huruma sasa atafanyaje na ana watoto wakubwa si watamuona jamanii.
 
as if ni wema ndo alosambaza hizo clip no one is perfect kila mtu na ubaya wake stop hating jamani khaaaa nyinyi ma team wema hamna tofaut ur all using so much energy kumfatilia wema pia mpate cha kusilibia kwaio wote akili zenu moja tu!
 
Back
Top Bottom