Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Nlichekaa walivokua wanamtetea boss wao wema et ivan ndio alianza kum follow yye wema ndio aka mfollow back nlichekaa plesha zna washuka et wanamwambia zari nyonyo limelala ka ndala loh bora mwenzie kazaa kuliko yy wema atujui ka anakizaz au vp na mikorogo yake
Duh mbona wanamuaibisha jameni hadi hiyo ya michirizi!!! My Gossshhh!!
 
Duh...hatari...halafu kuna watu wanasema huyu mdada ana Classy....really?!!!!

Angejiheshimu hiyo team yake pia ingemuheshimu...

Ila yote haya kisa Kigoma line....heheheeee.....Dai wagaie hivyo hivyooo hadi wapate kichaaa...

cc: Paula kilaki Dinazarde

uuuwiii, sasa na kile kichwa cha mademe wetu kilivyojaa maji kama tikiti maji la zebra anaweza akaona hii ndio kiki ya kumvushia 2015. lets wait and see.
 
Last edited by a moderator:
sijapata kuona watu wasiojielewa na wanafki,chakubimbi km tim wema
yaani wao si ndo walianza na bringback their wema
so whaaaaaasttttt
hawajielewi jappoooooo ht ile akili ya kuvaa chupi hawana hawa misukule
walimtukana peny kachakua bwana wao
leo wao wanataka waibe
hawana lolllloooote
tuzo zimewauma si waseme truuuuuuuu
ndo bas tena mshaharibuuuuuuj
daimond live ur life now
stey far with dhis drama kwini
 
Iv Hizi Team zinalipwa Eeh Maana naona Hawana kaz za kufanya...sasa wema ndo atakua ana mkomoa ndomo au zari?
 
Iv Hizi Team zinalipwa Eeh Maana naona Hawana kaz za kufanya...sasa wema ndo atakua ana mkomoa ndomo au zari?

Le Mbebez alisema hapa baada ya ile issue ya dougiemasta...kuwa hawa wenye team wanawanunuliaga simu na bundle wanawawekea ili watukane watu..Sa sijui ya kweli manake yule Mbaba nae wasiwasi tuu

Halafu atakuwa anaikomoa papuchi yake kwa kumpa kila MTU aisugue.....
 
sijapata kuona watu wasiojielewa na wanafki,chakubimbi km tim wema
yaani wao si ndo walianza na bringback their wema
so whaaaaaasttttt
hawajielewi jappoooooo ht ile akili ya kuvaa chupi hawana hawa misukule
walimtukana peny kachakua bwana wao
leo wao wanataka waibe
hawana lolllloooote
tuzo zimewauma si waseme truuuuuuuu
ndo bas tena mshaharibuuuuuuj
daimond live ur life now
stey far with dhis drama kwini
 
Huyu Wema amekaribia kuokota makopo kabisa Diamond anamtesa sana!

Duu huyu ni wakupimwa kabisa ndio maana ana dhalilishwa kila siku lakini hachoki kabisa!
 
Uliiona video ya birthday yake? kuna sehemu wanaingia na keki....yani wamejichokeaa, mkorogooo.....yani ni Shida...

Na kwa mwendo huu kakake Platinumz ataendelea kumchezea hadi basi...manake anaonekana ana mahaba Niue hadi akiachwa anapapatika....

Yani Wema ni mmoja wa vichaa kabisa duu
 
Huyo Ivan anajishughulisha na nini hasa?Wema size zake kina penny ndio wanaweza kugombania bwana sasa kwa zari si ataonekana housegirl? Dinazarde nifah Khantwe miss neddy @Gernivous sitaki baadae kuanza kuombwa kumsimulia mtu njooni wenyewe mjionee

Hivi mzazi wa Wema huwa Anafurahishwa kabisa?
 
Last edited by a moderator:
hahahaha Mwl hiyo ya kumwaga mboga na kutoboa sufuria huwa inaniacha hoi sana!

Kuna wanawake wanapenda kujidhalilisha Wema anaongoza! hayo anayo yafanya ni sawa na kujiuza kabisa!
 
hahahaha Mwl hiyo ya kumwaga mboga na kutoboa sufuria huwa inaniacha hoi sana!

Kuna wanawake wanapenda kujidhalilisha Wema anaongoza! hayo anayo yafanya ni sawa na kujiuza kabisa!

Nitajie Bongo movie ambaye hauzi nyapu.
 
Na bado mpaka ataokota makopo mwaka huuu wakeeeee
 
Sijui ni kwanini, yaani ni kama nimepigwa shoti! Kelele zote zile za Bring Back Our Wema mwishowe wanaishia kumpeleka mnadani!!! Kwahiyo wakisikia Wema kamegwa na Ivan, watashangilia "ehehehehehehehee, Wema wetu kato.mbwa na Ivan...!" omg...
 
wahisi ukiwa na mama kama wa wema atakuwa anakuongoza kweli katika mema?
Kama ameweza kutoa mitusi mikubwa vile basi lazima ataona mwanae anafanya sawa tu.
Yule mama na mwenyewe ni full majanga... nadhani marehemu Isaac Sepetu alimvumilia mengi sana manake, mnh... si ajabu hata huko Instagram yupo akichambana na vibinti vya Team Diamond na Kajala!! Na kama ana mtoto wa kiume, basi am very sorry for him manake akina nyinyi mnajuana wenyewe!
 
Back
Top Bottom