Kwani umekula omo? mbona unamwagika povu bila mpangilio? hebu relax af uje tena
Mmmh hv kati ya mm na wewe nani kamuattack mwenzie? mi namuongelea celeb wema ukaja na povu lakoVipi nilichoandika kimekugusa nini?maana bado sijakuelewa nini kilichokusukuma kuni attack ama Kiswahili changu hapo juu hakijaeleweka?
Mmmh hv kati ya mm na wewe nani kamuattack mwenzie? mi namuongelea celeb wema ukaja na povu lako
wana mchafua tuu siyo zari mwenyewe! Unajua Wema na timu yake wana hangaika sana tena sana!
hahaha yani Wema ana lazimisha kurudiana na Diamond hadi wanafikia kumchafua Dada wa watu kiasi kile duu!
hahaha yani Wema ana lazimisha kurudiana na Diamond hadi wanafikia kumchafua Dada wa watu kiasi kile duu!
Una uhakika?!
Loya wangu Ruttashobolwa..... huyu dada (bosiledi)picha si zake??????
Na hajakana...... ila amesema kuwa kuna mtu amezi-liki???
Au mie ndio sijui kiinglishi??
Mimi nimeziangalia clip zote ziko kama tatu yani ni vitu tofauti kabisa ni mchezo wa kuchanganya picha! kwa maoni yangu kilicho fanyika ni kuchanganya picha kuna sehemu inaonesha shingo ya muhusika ni tofauti na clip ya pili!

Loya wangu Ruttashobolwa..... huyu dada (bosiledi)picha si zake???
hahaha yani Wema ana lazimisha kurudiana na Diamond hadi wanafikia kumchafua Dada wa watu kiasi kile duu!
Zinapatikana wapi hzo vudeo jaminii? Yuko na kaska platnumz au?
Yuko mwenyewe ana ji laveda.... mie ninazo au kama uko insta nenda akaunti ya wemadacutewangu" utazikuta
Yuko mwenyewe ana ji laveda.... mie ninazo au kama uko insta nenda akaunti ya wemadacutewangu" utazikuta
bado zili clip hazija nishawishi kuwa hazijafanyiwa mchezo!