Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Heaven mie sijaelewa yani nani anayejilaveda?Zari au wema?Yani wema kwa jinsi alivyokong'oroka na michubuo yake angekaaa tu atulie apate pedeshee lakumaliza nae kabla hajaanza kuonekana bibi

Mhhhhhhh shoga huu mtirirko....... ungesubiri stori kamili

aliekua ana jilaveda ni boss Zarina sio Wema
 

Ile ni cyber sex... May be ilikuwa Skype or else
 
Kuna sehemu amekana hiyo video?

Hajakana amesema ni privacy yake na ana haki zote. Team Wema ni mafia mengi yanakuja .... Alionywa ajiheshimu aache utoto (kwa kuondokana na drama mbona lulu anamla rizimoko ila Hana shobo) akaona ni ujinga sasa anakunywa alichokitengeneza mwenyeweeee
 
Wabongo tutaelewa tu maana tumezoea kusikia ya kina rihana na crisbrown tu, Daimond kimbiza baba!
 

hahahaha let seee mwisho wa hii project! Kwakweli Diamond anatakiwa kucheza salama tena kwa tahadhari!
 

OK wewe unazungumziaje hile video kama umepata wasaha wakuiona!
 

Pengine chamillion anaweza kuvunja record afrika Tsh600,000+ per show ni hela nyingi sana kwa nchi zetu za afrika ukisikia na ukitaka kupata mfano halisi wa kutake risk basi ni show hii ya chamillion!
 

Lulu riz one si ndo aliyempangia nyumba kule tegeta? Ila nasikia alimmwaga maana jamaa alizid ubahili, kila akiombwa pesa anadai uchaguz umemaliza pesa nyingi, lulu ikabid amuache na uchaguzi wake

Lulu anatoka na watu wenye hadhi zao na pesa zao na ni msiri mno hanaga ulimbukeni yule dogo kusema sijui ajitangaze kalala na nani kama DIVA, maana diva angepata bahati ya kutoka na wanaume anaotoka nao lulu, naona dunia nzima ingejua, katoka na mbunge tu makerere kibao wakat lulu yupo na waheshimiwa na mabolozi wenye hadhi zao ila kapiga kimya
 

Zari hakukana kuhusu ile video, kasema ni yake na wala haikuwa intended kuzisambaza, ilikuwa ni kwa ajili ya mambo yake privacy, yani anajiamini vibaya, sijui hawa mastaa wana nini maana rio nae baada ya video ku leak, kakimbilia insta na kusema ni kweli ni video yake ilikuwa kwenye simu yake iliyoibiwa, na yale ni mambo yake private, yani hadi mtu unaishiwa pozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…