Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Heaven mie sijaelewa yani nani anayejilaveda?Zari au wema?Yani wema kwa jinsi alivyokong'oroka na michubuo yake angekaaa tu atulie apate pedeshee lakumaliza nae kabla hajaanza kuonekana bibi

Mhhhhhhh shoga huu mtirirko....... ungesubiri stori kamili

aliekua ana jilaveda ni boss Zarina sio Wema
 
Yani binamu nlivyoona ile clip nimechokaa....mtoto mzuri vile ana ukame?
Me namshauri Kakake Wema aitifue hadii zile dildo zichomwe moto....halafu kama clip imevujishwa na ex- boyfriend basi hana akili ...yani mpaka demu wako anamiliki dildo we uko wapi kwa mfano? Shame.....

Ile ni cyber sex... May be ilikuwa Skype or else
 
Kuna sehemu amekana hiyo video?

Hajakana amesema ni privacy yake na ana haki zote. Team Wema ni mafia mengi yanakuja .... Alionywa ajiheshimu aache utoto (kwa kuondokana na drama mbona lulu anamla rizimoko ila Hana shobo) akaona ni ujinga sasa anakunywa alichokitengeneza mwenyeweeee
 
Wabongo tutaelewa tu maana tumezoea kusikia ya kina rihana na crisbrown tu, Daimond kimbiza baba!
 
Hajakana amesema ni privacy yake na ana haki zote. Team Wema ni mafia mengi yanakuja .... Alionywa ajiheshimu aache utoto (kwa kuondokana na drama mbona lulu anamla rizimoko ila Hana shobo) akaona ni ujinga sasa anakunywa alichokitengeneza mwenyeweeee

hahahaha let seee mwisho wa hii project! Kwakweli Diamond anatakiwa kucheza salama tena kwa tahadhari!
 
Naona unataka kunipeleka ambako siko niliko. Issue ni kwamba umeuliza ikiwa Zari anaikana hiyo video na mie ndo nikakuambia hajazungumza chochote kuhusu video bali kazungumzia picha zilizo kwenye gazeti... Hiyo haimaanishi kwamba video haipo au picha hazipo, na ndio maana hata hapo juu nimesema si kwamba picha hazipo bali yeye (Zari) hajazungumzia video bali picha... hata ukisoma kwenye hiyo screenshot ya Instagram, ameandika: "I have no doubt in my mind that the pictures that appeared in today's Red Pepperr issue were leaked by someone..."

OK wewe unazungumziaje hile video kama umepata wasaha wakuiona!
 
Do your homework ... Shoo ya ghali ni ya Jose chameleone ambayo ni 1M, first lady wa ug amethibitisha kuattend. Inaitwa hela ya waarabu hela ya mafuta hela isiyo na mawazommm. Shoo ya zari ndo affordable as per ug reputable sources. Hakuna ughali wowote. Next time no research no right to throw whatever u have for this forum. Yes ni umbea ila lazima tuwe na data.

Pengine chamillion anaweza kuvunja record afrika Tsh600,000+ per show ni hela nyingi sana kwa nchi zetu za afrika ukisikia na ukitaka kupata mfano halisi wa kutake risk basi ni show hii ya chamillion!
 
Hajakana amesema ni privacy yake na ana haki zote. Team Wema ni mafia mengi yanakuja .... Alionywa ajiheshimu aache utoto (kwa kuondokana na drama mbona lulu anamla rizimoko ila Hana shobo) akaona ni ujinga sasa anakunywa alichokitengeneza mwenyeweeee

Lulu riz one si ndo aliyempangia nyumba kule tegeta? Ila nasikia alimmwaga maana jamaa alizid ubahili, kila akiombwa pesa anadai uchaguz umemaliza pesa nyingi, lulu ikabid amuache na uchaguzi wake

Lulu anatoka na watu wenye hadhi zao na pesa zao na ni msiri mno hanaga ulimbukeni yule dogo kusema sijui ajitangaze kalala na nani kama DIVA, maana diva angepata bahati ya kutoka na wanaume anaotoka nao lulu, naona dunia nzima ingejua, katoka na mbunge tu makerere kibao wakat lulu yupo na waheshimiwa na mabolozi wenye hadhi zao ila kapiga kimya
 
Hajakana amesema ni privacy yake na ana haki zote. Team Wema ni mafia mengi yanakuja .... Alionywa ajiheshimu aache utoto (kwa kuondokana na drama mbona lulu anamla rizimoko ila Hana shobo) akaona ni ujinga sasa anakunywa alichokitengeneza mwenyeweeee

Zari hakukana kuhusu ile video, kasema ni yake na wala haikuwa intended kuzisambaza, ilikuwa ni kwa ajili ya mambo yake privacy, yani anajiamini vibaya, sijui hawa mastaa wana nini maana rio nae baada ya video ku leak, kakimbilia insta na kusema ni kweli ni video yake ilikuwa kwenye simu yake iliyoibiwa, na yale ni mambo yake private, yani hadi mtu unaishiwa pozi
 
Back
Top Bottom