Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Sina mengi ile nimepigwa butwaa kuona picha za project tuliokuwa tunaisubiria kwa hamu sana kati ya mwanadada milionea Zarina Hassan Tlale na milionea wetu Chibu Dangote.doooh ni sheeeeedahhh
 

Attachments

  • 1416743536059.jpg
    32.9 KB · Views: 1,638
  • 1416743602724.jpg
    34 KB · Views: 1,595
Hivi hizi sinema zitaisha lini?
Nyimbo si ashatoa?
Atulie sasa sio alazimishe kiki na wapambe wake
Waache umma uendelee kumkubali au umkatae!

Nani amekwambia project na nyimbo zinahusiana...wacha movie iendeleee
 
Akiona hazungumziwi anatafuta sababu ya kuteka midomo ya watu, mbona hakutoa wakati ule ule? Anapenda attention huyu.
 
Anapoelekea kwakweli apunguze team yake imshauri yeye ni kioo cha jamii uzinifu wa hadharani na skendo zisizo na kichwa wala miguu eti project ila akumbuke kutumia kinga historia hizi zitam cost

Kwakweli kijana bora apunguze project asije akaanza kuumwa kifua! lakini Mimi nimemshauri akumbuke 3bomba!

Sasa sijui kama babu Tale umeneja wake unaishia wapi?Kweli ana hitaji ushauri!
 
hapa anaye umizwa ni Wema hata Mimi mwanzo nilifikiri ni utani!

Anaijisumbua tu, huyo zari atampa magonjwa ya ajabu na kumuacha, maana hawezi kukaa na mwanaume yule, maisha yake anayatawala mwenyewe kwa pesa zake, na wanaume kwake ndo viburudisho vyake, so ndomo ajifanye kumkomoa wema wakat ukimwi anapata yeye n makahab zake
 
Nani amekwambia project na nyimbo zinahusiana...wacha movie iendeleee

Kijana elnino kule kwenye Uzi msisahau kumshauri kijana kubeba salama akiwa projectini!
 
Last edited by a moderator:
Shutiiiiiiiiiiiiii ana sikilizia Busuuuuuuuuu mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah loh kijana Khatari huyu kwa Totozz.....
 
U can find me in the jet fvckin wit dem hoe! In my project like coo coo cal.
 

Kuna sehemu aliulizwa kuwa ulikasirika Wema kupewa gari? akajibu kuwa hakuna anaye weza kufurahi ndio maana watu tukiamua kupiga project zetu tunaonekana wabaya!

Kwakweli nivyema akapewa ushauri wakuwa makini sana kwenye project zake!
 

daah jamaaa ni mpigaji mizigo sana,hawa ni wale tu super divaz je kwa wale wa chini chini vishobokaji si atakua ana wakita sana aisee ni hatari kwa afya kama dume hai ingilii kati,ni bora management yake ikaketi na kumpa ushauri,maradhi yapo na haya chagui usuper star.
 
Utoto tu wema na domo unawasumbua wakishafikisha 30 akili ndio zitaanza kukaa sawa,hawana majukumu wote hao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…