Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha
Kijana aliona ni wakati sasa kutumia ujuzi wote alio nao kwenye hii project ili kuandika historia!
Mhhh huo mdomo....
Nitarudi.....
Hivi hizi sinema zitaisha lini?
Nyimbo si ashatoa?
Atulie sasa sio alazimishe kiki na wapambe wake
Waache umma uendelee kumkubali au umkatae!
Anapoelekea kwakweli apunguze team yake imshauri yeye ni kioo cha jamii uzinifu wa hadharani na skendo zisizo na kichwa wala miguu eti project ila akumbuke kutumia kinga historia hizi zitam cost
hapa anaye umizwa ni Wema hata Mimi mwanzo nilifikiri ni utani!
Mhhh huo mdomo....
Nitarudi.....
Anaijisumbua tu, huyo zari atampa magonjwa ya ajabu na kumuacha, maana hawezi kukaa na mwanaume yule, maisha yake anayatawala mwenyewe kwa pesa zake, na wanaume kwake ndo viburudisho vyake, so ndomo ajifanye kumkomoa wema wakat ukimwi anapata yeye n makahab zake
Project ya Kijana wetu Diamond na Zari (the boss lady) ili fana sana kiasi kwamba iliacha kumbu kumbu!
Cha kujiuliza hii project inaendelea? Kuna picha hapo chini inaonesha wakiwa wanaanza kufanya project ambayo pengine inaweza ikawa project kubwa tangu aanze kufanya project!
Lakini kama mjuavyo kila project inahitaji vifaa vya kufanikisha project ili baada ya project kila mtu atoke salama kama kutakuwa na madhara yeyote! Sijui kama Kijana wetu Diamond hukumbuka dhana za kufanyia project kama 3 bomba,roughryder na zingine zinazo saidia mtu akiwa kwenye project!
View attachment 204913
Lakini Diamond usisahau vifaa unapo kuwa kwenye project mfano 3bomba!View attachment 204914
Mkuu Chinga One kijana wenu yuko kwenye project