Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Hivi ana Fanya biashara gani ya kumuingizia kipato?

wapo wanaodai ni sembe wengine wanadai ni tapeli (kundi moja na ustadh juma musoma deal za uganga). Duka km duka haliuzi so haliwezi kumuweka mjini. Mali za mzazi mwenzake (shule, printing factory, n.k) ndo na yeye anategemea hapo
 
ha ha ha nyama na ngozi ya zari huwez linganisha na mama ubaya kwa hilo hapana
Halafu watu wanaposhindwa kufahamu ni kwamba, kama ni minyama, Chibu kaiona hiyo minyama live na bado kai-feel... na kama issue ni vuzi, hilo vuzi Chibu kalishuhudia kabla wengine wajalishuhudia lakini mnyama bado ka-feel! Wengine oh, Azari mzee... kama msosi napiga mimi halafu wewe unatoka povu kwamba msosi ninaokula una chumvi; mi nitakuona mwehu tu...
 
mmh wapi banaaaa penye uzuri msifie hivi nyama za zari utalinganisha na wema?serous????
Kwanza nyie wanawake kumi kwa mmoja ndio hana nyama... unaweza kumkuta mwingine mwili wake wa kawaida kabisa, akisaula, eh... tunyama huto hapo!
 
tatizo ni ushabiki wa hizi team team zisizo na makocha, mi sio memba wa team yoyote nasifia panapostahili wema ni mzuri ndio tena sana tu ila ngozi ake hapana kaiharibu na macream hamfikii zari kwenye hilo
 
Kwanza nyie wanawake kumi kwa mmoja ndio hana nyama... unaweza kumkuta mwingine mwili wake wa kawaida kabisa, akisaula, eh... tunyama huto hapo!
ha ha ha unaeza dhani ni kitimoto
 
Hii kitu niliivyoiona nimecheka sana na kujiuliza kama kweli wanatuonea wivu au ni vingine!?
Hebu soma na habari yake hapa.

[h=1]Singer Diamond dumps girlfriend for Zari[/h]
Tanzanian singing star Diamond Platnumz has dumped his girlfriend actress Wema Sepetu allegedly for Ugandan born, South Africa-based socialite and "part time" musician Zari Hassan.

The two have been getting cosy in the recent past, both in Tanzania, where Zari has visited several times and in South Africa.

Last weekend during the Channel O Awards in Johannesburg, South Africa, Zari joined Diamond who was accompanied by his mother.

They were later seen together during the after-party and stayed together the entire time the Bongo star was there.




Diamond has also confirmed that he will be gracing Zari's "All White Party" at Industrial area based club, Guvnor in Kampala, Uganda, on December 18. He wrote on his Twitter:


KAMPALA! UGANDA! It's Official Confirmed..18th Dec 2014 at GUVNOR kwenye zarithebosslady All white Ciroc party!!!

Although Diamond insinuates that they are just doing business together, his close associates who requested anonymity say that their relationship is romantic.

Meanwhile Zari preferred no to comment on her relationship with the Tanzanian artiste:


"As for Diamond I have no comment on that. Have a blessed week" Ms Zari said
 
Last edited by a moderator:

Mpaka sasa marketing strategy ya diamond kupenetrate soko la muziki nchini Uganda, linaonekana kufanikiwa kwa kasi nzuri.
Maana sasa magazeti na media zingine Uganda stori ni diamond and zari.
 
Last edited by a moderator:
Habari nyingne ya kibwagizo
 

Attachments

  • 1418110489246.jpg
    34.4 KB · Views: 395

Plz don't be a slow-witted one!!!wingi uwa haujumuishi kila mtu, till you are mentioned. Wengine wasi react uli react wewe, Acha kujistukia wewe, grow up usione kujibishana na mtu msiejuana ktk social media ni umaarufu.

Finito.

 
Plz don't be a slow-witted one!!!wingi uwa haujumuishi kila mtu, till you are mentioned. Wengine wasi react uli react wewe, Acha kujistukia wewe, grow up usione kujibishana na mtu msiejuana ktk social media ni umaarufu.

Finito.


acha gubu la kike wewe mi hadi nshakusahau sijui umeibukia wapi
usingeniquote nisingekujibu....over!!!
christmass njema na heri ya mwaka mpya karibu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…