Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WemabHatudi
Itakua kitaulo kilidunda kwa bibi makeup na camera zinasaidia heeeh yan katisha peusi
Hahahahaha kwa sintah sisomi tena yule chibibi mnafiki anachuki binafsi na watu. Alafu unajua mange Ana picha za chiu wa sintah ikiwa na mapele ya topaz meusiii so yeye na zari ndo zao kusafisha nyuso alafu chiu nyeusi eeehh?
Yap nasikia zimo kichwani..Tatizo umaarufu tu ndo ulimponda, ila bora binamu, cheti sio mbaya taratibu atafika tu, maana kuna akina mwantumu kandamil na kina maimuna wenzio hata chet hawana, akijitahid mwakan diploma, mwak kesho kutwa anamaliza, sio mbaya, cha muhimu ni kama kwel anasoma
Yap nakubaliana na weee
Waganda walugaluga ila wananyoooodoooooooooo
Boss minyama imemtepeta...
Hule ni mziki mkubwa hakika Diamond anayo kazi!
Kwi kwi ,niliona juzi kule insta mtu ka post picha ya sintah, kama mchawi, na mtumbo ule kama kameza nguruwe mwenye mimba
hahahaha
oooh boss utafungwa na Lemutuz
Hahahahaj le big tishet alishadadadia picha halafu zilipokuja video povu likamtoka hahahah
Diamond amnyoe basi kipenzi wake hahaha
Mwanamke mchafu huyu anajipodoa uso tu huko kwa bibi hakufai halafu wanajire kodi
Hahahahaha kwa sintah sisomi tena yule chibibi mnafiki anachuki binafsi na watu. Alafu unajua mange Ana picha za chiu wa sintah ikiwa na mapele ya topaz meusiii so yeye na zari ndo zao kusafisha nyuso alafu chiu nyeusi eeehh?
Kwakweli ameonesha sio msafi kabisa ni aibu!
Hehehehd
Ndio maana sintah anamuogopa mange siku hizi
Tatizo wambea tunakuwag na uvumilivu zero, tukipata kichwa cha habar tu, story tunatunga wenyewe, inabidi tuite kikao tujadili hili suala, naona limekuwa ni changamoto kwetu, linaweza kukwamisha maendeleo ya ubuyu nchini
Zari anajituma wapi? Hela ni ya Ivan. So Kama kuchuna hata zari ni mchunaji tu. Okay alichuna akafungua duka ila duka halina wateja hata yani hauzi kabisa ( chuki waganda waliyonayo kwake na pia sababu zingine hazieleweki why) which means Hana source clear ya income. So zari nae hana life la kwake. Ni mchunaji km wengine