Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mkweli77 watakua wameiba sim ya mmoja waohaahaaa unajua nimeshangaa hizi picha kuvuja mtandaoni na zipo nyingi hadi video ya...!!!!
Huo mdomo n hatari naona cku hiyo alimeza ulimi w bidada wote
Chibu:23 na zari:39 Du yani kampiku hadi T.I(34) na Tiny(39).
That dude is real definition of womanizer,hizi stunts anazo create zitamfuta kwenye ramani kirahisi sana.
Usiache kunijulisha
Kwani lengo lilikuwa ni kupush nyimbo?
Hahaha mkuu mwaga mboga!
Kumbe mdogo!
kwa hiyo 39-25=14!
usijali nitakujulisha
Mkuu Ruta, yaani ni bonge la ngoma... tena sio kama anavyosema serio kwamba imetoka wiki tatu labda video lakini audio ni long time... mimi nilipata mapema kidogo! Nimeangalia kwenye my music library nili-upload 20/8/2014... kwahiyo ina zaidi ya miezi mitatu lakini sijawahi kuisikia kabisa redioni!! Hebu isikilize kisha nipe ripoti:Hakika Leo ndio naisikia hii habari kuwa bushoke ana nyimbo! Kweli usanii bongo ni kazi sana ndio maana Q-chillah alidhani anarogwa!
Hiyo cartoon imenivunja mbavu uknw
Uknw BADILI TABIA utafungwa
Mkuu Ruta, yaani ni bonge la ngoma... tena sio kama anavyosema serio kwamba imetoka wiki tatu labda video lakini audio ni long time... mimi nilipata mapema kidogo! Nimeangalia kwenye my music library nili-upload 20/8/2014... kwahiyo ina zaidi ya miezi mitatu lakini sijawahi kuisikia kabisa redioni!! Hebu isikilize kisha nipe ripoti:
Ana 25 Diamond..
Kwanza Zari umri wake sio 39... hata hao ambao wanaongeza umri wake (hususani media za udajy za UG) wanasema she's 36 lakini hata hiyo 36 hajafika.... kuna siku hapa nilitaka kuweka photo zake za early 2000's, mmiliki wa hizo photos akanigomea! But all in all, nini 39, hata kama angekuwa 49 kwavile alivyo she's still worth kugonga! Wanawake watu wazima kama wale wanakubania mapaja wewe hadi unadhani unagonga kigoli... usifanye masihara bwana!Chibu:23 na zari:39 Du yani kampiku hadi T.I(34) na Tiny(39).