Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

haaha ila ujue huyu Daimond mjanja saana..unahisi kwanini kila akihojiwa kwenye vyombo vya habari kuhusu uhusiano wake na Wema hataki kulizungumzia anavunga?? basi subiriiaa proooject utaiona sooon

Duuu Kweli Wema kazi anayo!
 
Hakika Leo ndio naisikia hii habari kuwa bushoke ana nyimbo! Kweli usanii bongo ni kazi sana ndio maana Q-chillah alidhani anarogwa!
Mkuu Ruta, yaani ni bonge la ngoma... tena sio kama anavyosema serio kwamba imetoka wiki tatu labda video lakini audio ni long time... mimi nilipata mapema kidogo! Nimeangalia kwenye my music library nili-upload 20/8/2014... kwahiyo ina zaidi ya miezi mitatu lakini sijawahi kuisikia kabisa redioni!! Hebu isikilize kisha nipe ripoti:
 
Last edited by a moderator:

Duuuu Noma sana!
 
Last edited by a moderator:
Chibu:23 na zari:39 Du yani kampiku hadi T.I(34) na Tiny(39).
Kwanza Zari umri wake sio 39... hata hao ambao wanaongeza umri wake (hususani media za udajy za UG) wanasema she's 36 lakini hata hiyo 36 hajafika.... kuna siku hapa nilitaka kuweka photo zake za early 2000's, mmiliki wa hizo photos akanigomea! But all in all, nini 39, hata kama angekuwa 49 kwavile alivyo she's still worth kugonga! Wanawake watu wazima kama wale wanakubania mapaja wewe hadi unadhani unagonga kigoli... usifanye masihara bwana!
 
Back
Top Bottom