Majirani zake Bwana Mcharo wanatoka povu hadi unawahurumia... ninachowapendea, wakikerwa na harufu ya nyama, wanaenda kuangalia Nitampata Wapi, halafu kimyaaaa... hawasemi kwamba walienda kuangalia Nitampata Wapi... unashangaa tu views zinazidi kuongezeka kwa kasi huku majirani wa Bwana Mcharo wakidai eti anashuka....aaaaaaargh!!!! Hivi kwanini watu mnashindwa kukubali kwamba ni kujituma ndiko kunamfanya Chibu afike hapo alipo! UKiiangalia Nitampata Wapi unajua kabisa kwamba the guy spent thousands of dollars kuitengeneza... leo hii ipate views za kutosha mseme kisa hako kapicha ka hapo juu... watu mnachekesha kweli kweli!!! If you work hard, you'll be rewarded... bakini na mawazo yenu yasiyojenga kwamba anapigwa boost na scandal wakati mwenzenu ana-make!!!! INgekuwa scandal inalipa kiasi hicho basi wasanii wengi wa Tanzania leo wangekuwa mbali... yaani scandal zim-boost Chibu tu, wengine anha haa! Ama kweli akili ni nywele!!!