Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Majirani zake Bwana Mcharo wanatoka povu hadi unawahurumia... ninachowapendea, wakikerwa na harufu ya nyama, wanaenda kuangalia Nitampata Wapi, halafu kimyaaaa... hawasemi kwamba walienda kuangalia Nitampata Wapi... unashangaa tu views zinazidi kuongezeka kwa kasi huku majirani wa Bwana Mcharo wakidai eti anashuka....aaaaaaargh!!!! Hivi kwanini watu mnashindwa kukubali kwamba ni kujituma ndiko kunamfanya Chibu afike hapo alipo! UKiiangalia Nitampata Wapi unajua kabisa kwamba the guy spent thousands of dollars kuitengeneza... leo hii ipate views za kutosha mseme kisa hako kapicha ka hapo juu... watu mnachekesha kweli kweli!!! If you work hard, you'll be rewarded... bakini na mawazo yenu yasiyojenga kwamba anapigwa boost na scandal wakati mwenzenu ana-make!!!! INgekuwa scandal inalipa kiasi hicho basi wasanii wengi wa Tanzania leo wangekuwa mbali... yaani scandal zim-boost Chibu tu, wengine anha haa! Ama kweli akili ni nywele!!!
 
Form four leaver hamna kazi za kufanya imekuwa tatizo
 
Nimelog in fesibuk I see same pic ipo viral pia instagram, kwa wazoefu wa editorial na grafiksi tunaona wazi mburula alivyojaribu kuunganisha picha bila scale, Diamond anakiss kidevu halafu ukubwa wa diamond mouth n face unrealistic
Vijana jamii forum si level ya facebook,pelekeni upunbavu wenu huko fb.
 
Sasa picha umeona pekee yako fesibuku. Unakuja huku JF kujadili, kwa nini msimalizane huko huko? By the way picha yenye we hatuioni...sasa tunajadili nini?
 
Mkuu Ruta, yaani ni bonge la ngoma... tena sio kama anavyosema serio kwamba imetoka wiki tatu labda video lakini audio ni long time... mimi nilipata mapema kidogo! Nimeangalia kwenye my music library nili-upload 20/8/2014... kwahiyo ina zaidi ya miezi mitatu lakini sijawahi kuisikia kabisa redioni!! Hebu isikilize kisha nipe ripoti:


ninaweza kuwa nimesahau au kukosea miezi, lakini la msingi ni hilo nilio bold... ngoma ni kali lakini haikupewa airtime
 
Last edited by a moderator:
Aisee!,mmemkatisha tamaa huyu dogo!. Lakini sio kosa lake ndio tatizo la mfumo lenyewe hili.
 
mfyuuuu huku ni kwa watu wazima upuuzi mwisho facebook huku tunawataka watu timamu aaalas!
 
ngoja mimi nisubiri Le Tamkozz kutoka kwa The BigShow kama ni kweli au sio kweli.
Jamani msilaumu sana wema kaenda kwa babu na diamond kaenda kwa bibi ngoma droo

Hahahaha kweli ngoja droo
 
Daah ebana yani hii ni kali sana yani ni kama vile manzi wangu azingue halafu kesho kutwa ananikuta na rihanna daah aisee..nitayapata wapi maisha hayo aiseee daaahhhhhhh.......
 
Daah ebana yani hii ni kali sana yani ni kama vile manzi wangu azingue halafu kesho kutwa ananikuta na rihanna daah aisee..nitayapata wapi maisha hayo aiseee daaahhhhhhh.......

hahahaaa wacha wee great thinker huyoo hongera kwa kutamani maisha mazuri kama ya chibu
 
Daah ebana yani hii ni kali sana yani ni kama vile manzi wangu azingue halafu kesho kutwa ananikuta na rihanna daah aisee..nitayapata wapi maisha hayo aiseee daaahhhhhhh.......

Una akili sanaaaaaa
 
Badilisha aina ya bangi unayo tumia kijana... hii sio.
 
Back
Top Bottom