Zamani sana utamuona kwenye matangazo ya sabuni na kiwi.Ashakuwa 'celebrity'
Ashakuwa 'celebrity'
Anabangaiza life, siku zinasonga tu.
Labda ulaya sio huku kwanza wakimwona wanatoka nduki chezea kufa weweNa kaingia kwenye historia. Akiwa mjanja aitumie hiyoo fursa kupiga hela, awe muhamasishaji wa kujikinga,kuzuia, na kupambana na Corona, ata vuna hela, na lazima ajute kwanini hakupata corona mda mrefu.