Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

Anaitwa Isabella Mwaipamba ni mwongoza watalii lakini pia anamiliki shule ya watoto wadogo (preschool)kwasasa anaandaa mbio nyepesi kupanda mlima Meru nimekutana naye ikabidi niwape salamu zake.
 
Anaitwa Isabella Mwaipamba ni mwongoza watalii lakini pia anamiliki shule ya watoto wadogo (preschool)kwasasa anaandaa mbio nyepesi kupanda mlima Meru nimekutana naye ikabidi niwape salamu zake.
[emoji116]
IMG_20200615_224608_629.JPG
 
Na unene wote huo na alichomoka ktk homa ya mapafu.?
Kweli covid ni propaganda za mabeberu
 
Mhh huyu mama anapenda publicity na huwa anaisaka kwa gharama yoyote ni mmiliki wa shule English medium Inaitwa Upendo friends IPO Arusha kisongo mateves huko...wala hatachukia kwa ninavyomjua.
Tumemsikia Waziri Ummy Mwalimu akiwasiliana na mgonjwa wa kwanza wa virusi vya corona akiwa Arusha leo.

Hapa maadili na sheria za kitabibu zinaruhusu haya.

Au amefanya hivyo kama kutapatapa kwa branda alizozifanya mpaka leo mamilioni ya wanafunzi na watoto wetu wanahangaika.

Pia naona ni kama kuhatarisha maisha ya huyu mgonjwa . hatuoni kwamba watu wanaweza kumfikiria vibaya, kwa maneno na hata kwa vitendo?

Nina wasiwasi sana na kwamba huyu mgonjwa kama hata pata shida ya kisaikolojia kwa lawama na manung'uniko kutoka kwa watu.

Nasema hivyo kwa maana tumeishaona post nyingi zikianza polepole kuattack personality ya huyu mgonjwa wa Arusha.

Mgonjwa na ugonjwa anaougua ni sir ya mgonjwa na daktari wake.
 
Back
Top Bottom