mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiyo unamsema Mtukufu Rais kwa kutumia kivuli cha Chadema, wenye akili wameshakuelewa kuwa unamnanga Rais. Huna adabu kabisa kulihusisha jina la Mh. Rais na mambo ya kipumbavu. Mods pigeni ban huyu kwa kumkosea heshima Mh. Rais.
Kabisa, hata Ambaruty watamtumia kwenye kampeni hawana akili kabisaUsishangae Viwavi wa CCM wakamtumia kwenye Kampeni
Huyu mpigaji kabisaWAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU KAONGEA NA MGONJWA WA CORONA KWA NJIA YA SIMU! KASEMA ANAENDELEA VIZURI! KWA HALI HIYO NI WAZI TANZANIA TUMEFANIKIWA KUUTIBU HUU UGONJWA! USHAURI KWA SERIKALI, IRUHUSU SHUGHULI ZILIZOZUILIWA IKIWEMO SHULE KUFUNGWA MAANA IKITOKEA MTU KUUGUA CORONA ATATIBIWA KWA TIBA ILIYOMTIBU ISABELA.View attachment 1392813
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakwel huwezi swala linakuja kama kapona mbona anajumushwa kwenye ile idadi ya wagonjwa
Dunia nzima inahaha kwa ugonjwa wa corona! Yeye nini kilimuasha kwenda kusalimia familia yenye mgonjwa wa corona? Ndo swali li lilopo hapa! Na kadai anaendelea vizuri ndani ya siku tatu tu! Ina tiba tulizonazo zinahimili ugonjwa huu, Je kuna haja ya kufunga mashule?Hii nchi wooooote tumekuwa chadema yaani ni kupinga tuuuu,kila kitu sisi tunapinga tuu..
Dah serikali ina kazi sana!
Unapougua unaomba radhi ya nini? Alifanya kusudi au imemtokea kama binadamu yeyote anayeugua ugonjwa wowote?Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
Amegundulika ana virus, lakini kama kwenda hospital alikwenda kwa usafiri binafsi, anatembea, hana kifua wala mafua, nahisi wengi wanafikiri yuko kitandani.Huyo mgonjwa si inabidi awe kwenye kantini siku si chini ya 14 inakuaje aseme kapona ndani ya siku 2 na waziri kabisa bila aibu anatwanga simu na kuweka public [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]...
Haki ya Mungu hii nchi siasa inatumaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Apunguze kudanga, yeye anatoka bongo kwenda kudanga kwa wazungu ili hali ameshajua kuna korona huko. Njaa zitamuuwa , shenzy zake
Huyu waziri wetu ni mweupe sana kichwani kwakweli. Hata washauri wake ni weupe sana kichwani.
Msimlaumu huyo mgonjwa kwakuwa hawa na CCM ndio wanamfata mara jana waziri ampigie simu eti hebu ongea na Watanzania. Ni BIKO ameshinda au?
Hii nchi safari hii imepata viongozi wa mwendokasi asee.🤣🤣🤣chalii angu nimecheka sana! Mie nachoshangaa zaidi Ummy sio Dk by profeshino..anaongoz waziri nyeti km hii jmni! Ni km mke mdogo alivyowekw kwenye madini wakat ule...!
Hii nchi safari hii imepata viongozi wa mwendokasi asee.
Kuna mahali niliuliza wakaniambia sio lazime awe na profession hiyo lakini wizara itakuwa na wataalamu wa hayo mambo. Basi nikaishia kuconclude kuwa kama sio kuwa hashauriki basi hao washauri wake nao ni weupe.Mtu kasomea hkl huko unamwekaje hapo jaman..kweli ni wa mwendokasi..