Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

Chadema watamshukia kama mwewe na kumwambia ametumwa na Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo unamsema Mtukufu Rais kwa kutumia kivuli cha Chadema, wenye akili wameshakuelewa kuwa unamnanga Rais. Huna adabu kabisa kulihusisha jina la Mh. Rais na mambo ya kipumbavu. Mods pigeni ban huyu kwa kumkosea heshima Mh. Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi wooooote tumekuwa chadema yaani ni kupinga tuuuu,kila kitu sisi tunapinga tuu..
Dah serikali ina kazi sana!
Dunia nzima inahaha kwa ugonjwa wa corona! Yeye nini kilimuasha kwenda kusalimia familia yenye mgonjwa wa corona? Ndo swali li lilopo hapa! Na kadai anaendelea vizuri ndani ya siku tatu tu! Ina tiba tulizonazo zinahimili ugonjwa huu, Je kuna haja ya kufunga mashule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.

Unapougua unaomba radhi ya nini? Alifanya kusudi au imemtokea kama binadamu yeyote anayeugua ugonjwa wowote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mgonjwa si inabidi awe kwenye kantini siku si chini ya 14 inakuaje aseme kapona ndani ya siku 2 na waziri kabisa bila aibu anatwanga simu na kuweka public [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]...


Haki ya Mungu hii nchi siasa inatumaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
Amegundulika ana virus, lakini kama kwenda hospital alikwenda kwa usafiri binafsi, anatembea, hana kifua wala mafua, nahisi wengi wanafikiri yuko kitandani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apunguze kudanga, yeye anatoka bongo kwenda kudanga kwa wazungu ili hali ameshajua kuna korona huko. Njaa zitamuuwa , shenzy zake

🤣🤣🤣🤣..new mdango....ila kwelibwana wenzake tunadanga hia hia why yy aende mambele!
Ila kaliwakilisha Taifa vyema
 
Huyu waziri wetu ni mweupe sana kichwani kwakweli. Hata washauri wake ni weupe sana kichwani.

Msimlaumu huyo mgonjwa kwakuwa hawa na CCM ndio wanamfata mara jana waziri ampigie simu eti hebu ongea na Watanzania. Ni BIKO ameshinda au?

🤣🤣🤣chalii angu nimecheka sana! Mie nachoshangaa zaidi Ummy sio Dk by profeshino..anaongoz waziri nyeti km hii jmni! Ni km mke mdogo alivyowekw kwenye madini wakat ule...!
 
Hivi sisi wenye allergy na vitu kama perfume ambao hupata mafua makali sana kwa hili dude sijui hatuko salama kwa asilimia ngapi
 
Back
Top Bottom