Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alikwambia ukipata Corona ndio umekufa??WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU KAONGEA NA MGONJWA WA CORONA KWA NJIA YA SIMU! KASEMA ANAENDELEA VIZURI! KWA HALI HIYO NI WAZI TANZANIA TUMEFANIKIWA KUUTIBU HUU UGONJWA! USHAURI KWA SERIKALI, IRUHUSU SHUGHULI ZILIZOZUILIWA IKIWEMO SHULE KUFUNGWA MAANA IKITOKEA MTU KUUGUA CORONA ATATIBIWA KWA TIBA ILIYOMTIBU ISABELA.View attachment 1392813
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ndo huyo .Ndo huyo kwenye picha?
Sidhani kama anastahili kulaumiwa..
Pia serikali impe matibabu mazuri kwa kuwa yeye kaugua sio kupenda kwake.
Awe na amani hausiki kwa jinsi yoyote..
Fafanua mkuu.
Huu ugonjwa ni mpya hapa duniani.Huu ugonjwa unapewa attention usiostahili kwa huku Africa, ugonjwa wenyewe ni mafua tu halafu watu wanapaniki
wakati tuna magonjwa mengine ambayo ni mauaji kama malaria, kipindupindu kinakaribia kulipuka na mvua hizi lakini hakuna hata attention kinapewa
Nimechekaa [emoji1787][emoji1787]Pongezi kwa awamu ya 5 kumbe ata ukimwi tutaweza kutibu [emoji200][emoji200]wali sikika fisiemu wakisema
Time is a drug. Too much of it kills you
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na kaingia kwenye historia. Akiwa mjanja aitumie hiyoo fursa kupiga hela, awe muhamasishaji wa kujikinga,kuzuia, na kupambana na Corona, ata vuna hela, na lazima ajute kwanini hakupata corona mda mrefu.