kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa positive minded unaweza kuona huyo mgonjwa anatumika kupunguza panic kwa raia maana hii kitu imekuja social media panic kubwa sana ambayo ndio hatar kuliko hata corona yenyewe
Sio mtu wa njaa njaa. Wenye njaa hata passport mpya hawana
Una uhakika gani kama kweli alipata virusi?Unaweza kusema ni mchongo flan umechorwa.Any way huyu mama amepata virus kweli lakini kuna mazingira flan amejaribu kugeuza hiyo kama fursa na anakaribia kufanikiwa
Eti anasema oooh “imeshatokea” yaani kati ya vitu huwa sipendi mtu aseme pale anapojitetea au kuomba msamaha ni hilo neno yaani huwa linacancel yote aliyoyasema kabla hata kama mazuri vipi!Huyu maza nyo.ko sana katia watu hasara sana kwa upuuzi wake wa kwenda sehemu hatarishi kipindi hiki. Halafu baada ya kujijua kaukwaa anajifanya kuepaepa kisanii, pumba.fffu sana huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapa nashangaa sasa!?Anaomba msamaha kwa lipi?
Kwa ile 50mil pesa ya mboga?
hivi nchi zenye wagonjwa wa corona wakirecover huwa wanapigiwa simu ehhh???Ndio hapa nashangaa sasa!?
VItuko hivi vinapatikana hapa Tanzania tu.hivi nchi zenye wagonjwa wa corona wakirecover huwa wanapigiwa simu ehhh???