Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

Kuna watanzania wanapenda drama za kipuuzi kabisa. Kuna umuhimu gani kupigiana simu na mgonjwa ambaye yupo quarantine. Yaani what is the point? Tuache ulimbukeni!

Inaonekana huyu ni celebrity sasa, na akipona yule waziri Kigwangala atakuwa anasafiri naye kwenda mbuga za wanyama kukuza utalii kama anavyofanyaga na third-rate actors, Steve Nyerere Et al.
 
Utasikia yupo kwenye kampeni ya saidia Taifa stars ishinde. We subiri tu
 
WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU KAONGEA NA MGONJWA WA CORONA KWA NJIA YA SIMU! KASEMA ANAENDELEA VIZURI! KWA HALI HIYO NI WAZI TANZANIA TUMEFANIKIWA KUUTIBU HUU UGONJWA! USHAURI KWA SERIKALI, IRUHUSU SHUGHULI ZILIZOZUILIWA IKIWEMO SHULE KUFUNGWA MAANA IKITOKEA MTU KUUGUA CORONA ATATIBIWA KWA TIBA ILIYOMTIBU ISABELA.
IMG-20200317-WA0048.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi bana, ona sasa naenda kupoteza 70k kurudi nyumbani
 
Acheni Mzaha!!
Iwapo Kapona Kwa Protocol
Pongezi Kwa Serikali Ya Awamu Ya Tano
 
Aisee!
Hili tukio nimelichukulia kama ile press ya kutekwa Mo ambayo kama tunavyokumbuka Mh. rais aliishia kucomment kuwa "msidhani watz ni wajinga". Kiuhalisia hii ndio hali tuliopo kwa sasa na tunabakia kumtegemea Mungu huku tukisahau Italy ambako ndiko makao makuu ya Kanisa wana hali mbaya!

Kumkumbusha tu wazri, bofya hapa>>> Africa Live: WHO warns Africa to 'prepare for the worst'
 
Bado sana kuanza kujiaminisha hivyo aisee, waziri mwenyewe juzi kasema ikisambaa kwa nchi yetu kupambana nayo itakua ngumu. Huyo amepata nafuu sababu alikua mwenyewe so nguvu zote walielekeza kwake ili apone wengine wasiambukizwe.

Sasa watu wakijiachia wakapata maambukizi wengi serikali haiwezi kuwamudu, wataenda wengi sana. Tujilinde tu na kufata masharti
 
Back
Top Bottom