Isamilo Kampuni ya mabasi ya usafirija ni jipu na kero kwa Abiria yalinikuta Dodoma

Very poor

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
379
Reaction score
574
Mada kama inavyojieleza hapo juu mnamo tarehe 4/10/2024 majira ya saa tano hivi asubhi nilipanda gari nikitokea Nzega to Morogoro nilifanya booking kwenye stand kuu ya Nzega mjini kwenye booking office za KAMPUNI ya Isamilo Safari ilianza vyema Sana hapakuwa na usumbufu wowote, usumbufu ulikuja kujitokeza tulipofika Dodoma Maeneo ya CBE baada yakufika Dodoma tulikuwa abiria wengi sana karibia nusu gari.

Kuna baadhi ya abiria walihitaji kufika morogoro na Wengine Dar, tulipofika dodoma Maeneo ya booking ya ISAMILO kondakta wa gari ya Isamilo alitangaza kuwa gari Yao ndio mwisho wa safari na wakati tunatoka Nzega tulijulishwa kuwa gari ile ilikuwa niya moja kwa moja hadi Dar es salaam.

Hivyo baada yakutangaza kuwa gari hiyo itaishia hapo alisema kuwa tutafaulishwa kwenda kwenye gari nyingne abiria walio wengi walikubaliana na wengne wakinung'unika.

Chakushangaza baada ya abiria wote kutelemka chini idadi Yao ilikuwa kama 42 jumla ya wote wanaoenda Dar na morogoro hapo ndipo niliona kuna usumbufu abiria wawili wakaambiwa mfuateni Yule (kijana mmoja ambaye alikuwa Eneo lile).

Wengine kama Saba wakasotewa kijana mwingne ambaye naye alikuwa anazunguka Eneo lile kiufupi tukakatwa katwa mafungu kama sita hivi mm nikapelekwa kwemye kundi la watu 8 tukapelekwa kwenye gari husika ambayo walidai inaenda Dar.

Baada ya mm kufika nakuliona gari ina watu wanne tuliowakuta kwenye ile gari akilin nikajisemea hapo hatuondoki Leo hii kama siyo saa tisa bas itakuwa asbhi.

Nikawaambia wenzangu hii gari haitoki Muda huu itakuwa ya Asbhi kumbka Muda ule ilikuwa kama saa 3 na nusu hivi usiku, na wakati tunashuka pale wakawa wanajisemea fanyeni haraka gari yenu ya kwenda dar inawasubri nyie.

Bas baada yakuona vile nikashuka na mzigo yangu nikamuita boda mmoja hivi nikamwambia hebu nipeleke kwenye ofsin za Isamilo maana hii gari waliotuleta sijailewa.

NI kweli Yule boda akasema utanipa buku mbili chapu nikaingia mfumo nikampa, tukaenda Hadi pale Isamilo booking office, sikumkuta Mtu yeyote ofsin ilikuwa imefungwa nikiwa nazunguka zunguka nikamuona Yule aliyekuwa anatugawa mafungu nikamwambia Kaka mm Natakiwa saa Saba niwe Morogoro kuniweka kwenye gari lile na halina dalili yakuondoka nikunikosea!

Basi yule Jamaa alinijibu tulia, akamwita Jamaa mmoja ambaye alikuwa jirani flan njoo mpeleka gari ya haraka huyu, nikabebelea tena mizingo yangu nikakodi mkokoteni Hadi pale ambapo Yule Jamaa alielekezwa anipeleke napo.

Kufika nikakuta gari ina watu kama 8 hivi na mm nikawa WA Tisa lakini dereva kaiacha gari inaunguruma nikasema kimoyomoyo hii itakuwa ya chapu ngoja nitulie.

Huwez amini nilipandishwa Ile gari saa 4 hivi usiku tumekuja kutoka pale saa Saba na robo usiku nikiwa njiani nikawa najisemea je hao niliowaacha gari nyingne wameondoka saa ngap?

Ushaur wafanyakazi WA hizi Kampuni za usafirishaji wawe wakweli Kwa wateja wao kuepusha usumbufu kama huo NI aibu, na haifai Kwa Kampuni kubwa kama Isamilo kuona abiria wanahangaishwa kiasi kile kumbka kwenye usafri ule tulikuwa na wazee Kia's cha kwamba Kwa Muda ule kutembea kwao NI usumbufu mkubwa na NI hatar kulingana na UMRI wao.
 
Pole sana mtumish

MIMI nishajifunza vitu vingi sana kuhusu usafiri wa bongo maana nimesafir sana
 
Nyie nao ni wazembe yaani, jamaa wanakatisha safari, nyie mnawacha hivihivi.

Ilitakiwa jamaa awaombe samahani nyingi then awaletee gari yakuwapeleka moro hadi Dar. Na sio kuwafaulisha.

WaTz mtazijua lini haki then au hamkua na tiketi.?

CCM mbele kwa mbele kudadeki.
 
Mada kama inavyojieleza hapo juu mnamo tarehe 4/10/2024 majira ya saa tano hivi asubhi nilipanda gari nikitokea Nzega to Morogoro nilifanya booking kwenye stand kuu ya Nzega mjini kwenye booking office za KAMPUNI ya Isamilo Safari ilianza vyema Sana hapakuwa na usumbufu wowote, usumbufu ulikuja kujitokeza tulipofika Dodoma Maeneo ya CBE baada yakufika Dodoma tulikuwa abiria wengi sana karibia nusu gari.

Kuna baadhi ya abiria walihitaji kufika morogoro na Wengine Dar, tulipofika dodoma Maeneo ya booking ya ISAMILO kondakta wa gari ya Isamilo alitangaza kuwa gari Yao ndio mwisho wa safari na wakati tunatoka Nzega tulijulishwa kuwa gari ile ilikuwa niya moja kwa moja hadi Dar es salaam.

Hivyo baada yakutangaza kuwa gari hiyo itaishia hapo alisema kuwa tutafaulishwa kwenda kwenye gari nyingne abiria walio wengi walikubaliana na wengne wakinung'unika.

Chakushangaza baada ya abiria wote kutelemka chini idadi Yao ilikuwa kama 42 jumla ya wote wanaoenda Dar na morogoro hapo ndipo niliona kuna usumbufu abiria wawili wakaambiwa mfuateni Yule (kijana mmoja ambaye alikuwa Eneo lile).

Wengine kama Saba wakasotewa kijana mwingne ambaye naye alikuwa anazunguka Eneo lile kiufupi tukakatwa katwa mafungu kama sita hivi mm nikapelekwa kwemye kundi la watu 8 tukapelekwa kwenye gari husika ambayo walidai inaenda Dar.

Baada ya mm kufika nakuliona gari ina watu wanne tuliowakuta kwenye ile gari akilin nikajisemea hapo hatuondoki Leo hii kama siyo saa tisa bas itakuwa asbhi.

Nikawaambia wenzangu hii gari haitoki Muda huu itakuwa ya Asbhi kumbka Muda ule ilikuwa kama saa 3 na nusu hivi usiku, na wakati tunashuka pale wakawa wanajisemea fanyeni haraka gari yenu ya kwenda dar inawasubri nyie.

Bas baada yakuona vile nikashuka na mzigo yangu nikamuita boda mmoja hivi nikamwambia hebu nipeleke kwenye ofsin za Isamilo maana hii gari waliotuleta sijailewa.

NI kweli Yule boda akasema utanipa buku mbili chapu nikaingia mfumo nikampa, tukaenda Hadi pale Isamilo booking office, sikumkuta Mtu yeyote ofsin ilikuwa imefungwa nikiwa nazunguka zunguka nikamuona Yule aliyekuwa anatugawa mafungu nikamwambia Kaka mm Natakiwa saa Saba niwe Morogoro kuniweka kwenye gari lile na halina dalili yakuondoka nikunikosea!

Basi yule Jamaa alinijibu tulia, akamwita Jamaa mmoja ambaye alikuwa jirani flan njoo mpeleka gari ya haraka huyu, nikabebelea tena mizingo yangu nikakodi mkokoteni Hadi pale ambapo Yule Jamaa alielekezwa anipeleke napo.

Kufika nikakuta gari ina watu kama 8 hivi na mm nikawa WA Tisa lakini dereva kaiacha gari inaunguruma nikasema kimoyomoyo hii itakuwa ya chapu ngoja nitulie.

Huwez amini nilipandishwa Ile gari saa 4 hivi usiku tumekuja kutoka pale saa Saba na robo usiku nikiwa njiani nikawa najisemea je hao niliowaacha gari nyingne wameondoka saa ngap?

Ushaur wafanyakazi WA hizi Kampuni za usafirishaji wawe wakweli Kwa wateja wao kuepusha usumbufu kama huo NI aibu, na haifai Kwa Kampuni kubwa kama Isamilo kuona abiria wanahangaishwa kiasi kile kumbka kwenye usafri ule tulikuwa na wazee Kia's cha kwamba Kwa Muda ule kutembea kwao NI usumbufu mkubwa na NI hatar kulingana na UMRI wao.
Kampuni za kikanjanja hzoo kuna basi limewahi kutembea kutoka mwaza to iringa kwa sku 3 na hawakurudsha nauli...nlisubiri mzgo nikajua gari imepata ajali ilikuja kufika KESHO KUTWA ASUBUH SKUAMIN ...
 
Watu wa kanda ya ziwa huwa wananishangaza sana , Gari za huko kondakta anaweza kuwapiga mkwara abiria 55 na wote mkakaa kimya, aliwahi kupitilizishwa kituo mama mmoja akiwa na mtoto usiku karibu 2km anapiga kelele abiria wenzake wako kimya ikabidi niwashe moto ndo gari ikasimama
 
Kongole sana mkuu
 
Back
Top Bottom