Isaya Mwita ni kikwazo cha CCM kuchota Pesa ya uchaguzi kwenye Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam, ndio chanzo cha kuwekewa zengwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wakuu hii ndio sababu kubwa ya CCM kutaka kumuondoa Meya wa Jiji la Dar es Salaam , hakuna sababu nyingine yoyote ile.

Mwita anatuhumiwa kuzuia matumizi ya zaidi bil 5 ambazo ni mgawo kutoka UDART, Je, ni matumizi gani hayo yaliyotakiwa kufanywa na kwanini yamezuiliwa ? Hakuna mwanaccm atakayejibu swali hili , kwamba sijui matumizi mabaya ya gari la Halmashauri hizo ni porojo tu .

Tutaendelea kumwaga taarifa zao za siri kwa kadri wafichua maovu wanavyotuletea , Endeleeni kubaki hapahapa Jf .

KAMA MMBWAI NA IWE MMBWAI .
 
Pale UDSM kuna kozi inaitwa EP 306 hueleza kuhusu makundi maalumu ya watu!!kwa uchunguzi nimebaini jiwe yupo kundi maalum na ni mlemavu kiakili anahitaji spesho Care!!!CHA AJABU ETI WAKAMPA URAISI WA MEZANI WAKATI NI KICHAA!!!AJABU KWELI KWELI!!!
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichokisikia Jana kwa mbunge kubenea jiji lina wawakilishi majizi hatari.yaani mkurugenzi anaongoza kuhamasisha dili za kifisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…