Isaya Yunge awakwepa Wadangaji lia-lia (wapiga vizinga, njaa kali) Bongo!

Isaya Yunge awakwepa Wadangaji lia-lia (wapiga vizinga, njaa kali) Bongo!

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
Mwamba kakwepa kiunzi cha wadangaji wa bongo njaa kali. Kaenda kwenye ufalme wa maziwa na asali, familia bora ya Ruto. Poleni sana wadangaji lia-lia
 

Attachments

  • _kaplong_aeacc0ddca1c469c99965b22d30c8884.mp4
    11.8 MB
Sisi tumezoea kudangiwa tunaoa haohao wadangaji....

Binafsi imefika pahala nikiwa kwenye mahusiano na siombwi hela nahisi sipendwi au labda demu anataka kuniunguza na UKIMWI ndio maana haombi hela
 
Sisi tumezoea kudangiwa tunaoa haohao wadangaji....

Binafsi imefika pahala nikiwa kwenye mahusiano na siombwi hela nahisi sipendwi au labda demu anataka kuniunguza na UKIMWI ndio maana haombi hela
Pole sana
 
Hii mpaka nisikie vijana wa Kenya wanasemaje,, isije ikawa tumeuziwa mbuzi kwenye gunia,,
 
Back
Top Bottom