msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
ha ha hahahaaa,nimekuja fasta nikajua umemuona MUNGU,una vituko sana mkuu!daaaah kweli mungu yupo,jana nimekaa zangu sebleni nikasema ngoja niombe chezo kwa chepuko langu,tmechaaat,tumechaaaat we,he nakuja kushtuka kumbe msg nilikuwa namtumia wife bwana kwakuwa majina yao yanaanza na herufi sawa,wacha nikurupuke bahti nzuri nimenyata chumbani namkuta wife anakoroma isee,na simu iko kwenye charge taratiiiiiiib nikaichukua huku natabasamu nikaanza kufuta msg moja baada ya nyingine daaaaaaah,yan asubuh nimeamka kwa furaha napiga milunzi tu chumbani daaaaaaaaaaah
hajajua anawaambia wakubwa mkuuMbona unajichanganya, unasema mmechaat mmechat, halafu unasema kumbe alikuwa wife na baade unasema umemkuta kalala. Sasa ulikuwa unachat na nani
yani we acha tu,nimeshangaa msg zinajibiwa nyingine hazijibiwi,kumbe nyingine nilikuwa najichanganya40 yako inakaribia; stand by.
ahahahahahhahmnalala mchana ? hongereni maana tamko la kufyatua watoto limetoka juu hakuna shida
tanzania ya viwanda baba na mama wapo kitandani 24/7 wanazalisha nini mkuu?ahahahahahhah
Yo make me happy Madame
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Inamaana message zako za kuomba mchezo zilimlevya wife mpaka akasinzia? Eti nyingine zinajibiwa nyingine hazijibiwi! face it bro, umebugiyani we acha tu,nimeshangaa msg zinajibiwa nyingine hazijibiwi,kumbe nyingine nilikuwa najichanganya