Isee Mungu yupo

Isee Mungu yupo

msemakweli2

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
1,627
Reaction score
1,880
daaaah kweli mungu yupo,jana nimekaa zangu sebleni nikasema ngoja niombe chezo kwa chepuko langu,tmechaaat,tumechaaaat we,he nakuja kushtuka kumbe msg nilikuwa namtumia wife bwana kwakuwa majina yao yanaanza na herufi sawa,

Wacha nikurupuke bahti nzuri nimenyata chumbani namkuta wife anakoroma isee,na simu iko kwenye charge taratiiiiiiib nikaichukua huku natabasamu nikaanza kufuta msg moja baada ya nyingine daaaaaaah,yan asubuh nimeamka kwa furaha napiga milunzi tu chumbani daaaaaaaaaaah
 
daaaah kweli mungu yupo,jana nimekaa zangu sebleni nikasema ngoja niombe chezo kwa chepuko langu,tmechaaat,tumechaaaat we,he nakuja kushtuka kumbe msg nilikuwa namtumia wife bwana kwakuwa majina yao yanaanza na herufi sawa,wacha nikurupuke bahti nzuri nimenyata chumbani namkuta wife anakoroma isee,na simu iko kwenye charge taratiiiiiiib nikaichukua huku natabasamu nikaanza kufuta msg moja baada ya nyingine daaaaaaah,yan asubuh nimeamka kwa furaha napiga milunzi tu chumbani daaaaaaaaaaah
ha ha hahahaaa,nimekuja fasta nikajua umemuona MUNGU,una vituko sana mkuu!
 
Ina maana ulikuwa unatuma hizo meseji hakuna reply au!? na kama hapakuwa na reply ilikuwaje utume meseji nyingi maana umesema hivi: tmechaaat,tumechaaaat we

Sasa ulichat na nani kama wife alikuwa amelala tokea meseji ya kwanza hadi ya mwisho ulivyostuka!
 
Mmechaat chaat na mchepuko halafu ukagundua msg zilikuwa zinaenda kwa wife!!!!?
Anzisha uzi mwingine huu umetudanganya
 
....mhhh haya bhana mmechart vipi na mtu alikuwa amelala, au jini ndo lilikuwa linajibu msg zako...
 
Soma kwa mara ya pili na tatu ulichokiandika?
 
yani we acha tu,nimeshangaa msg zinajibiwa nyingine hazijibiwi,kumbe nyingine nilikuwa najichanganya
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Inamaana message zako za kuomba mchezo zilimlevya wife mpaka akasinzia? Eti nyingine zinajibiwa nyingine hazijibiwi! face it bro, umebugi
 
Back
Top Bottom