Ishara za Nyakati: Bendera ya CHADEMA yapepea kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro

Ukiitenga siasa wewe ni wa kuhurumiwa , siasa ni maisha , ndio maana nyie mnaposhabikia Simba na Yanga , Mara Mlete Mzungu au Mayele anatetema , watoto wa viongozi akina Nape , January , Riziwani , Malima na wengine wanagawana madaraka .
 
Hii alama ya ukombozi mpya wa kifikra ili kuondoa ile alama ya mwanzo iliyowekwa na mwenge katika kilele hicho cha Kibo kupitia fikra potofu za waganga wa kienyeji.
Asante sana !
 
Ukiitenga siasa wewe ni wa kuhurumiwa , siasa ni maisha , ndio maana nyie mnaposhabikia Simba na Yanga , Mara Mlete Mzungu au Mayele anatetema , watoto wa viongozi akina Nape , January , Riziwani , Malima na wengine wanagawana madaraka .
Acha kufananisha mpira na vitu vya kipuuzi japo mimi sina timu yoyote ambayo ni mkereketwa wao. Ila mpira ni burudani tu kama kuumwagilia Moyo, kuogelea na kula mbususu.
Ila wanasiasa wanawatumia tu watu kama nyie kuwa daraja la kufikia mzinga wa asali. Hebu angalia kilichotokea jana Kenya wapi ulimwona Odinga akiongoza hayo maandamano? Yeye anatoa tamko mburula kama nyie ndio mnakabiliana na virungu na kulala mahabusu.
Mimi nitakimbizana na nyani shambani ili kuhakikisha natetea mazao yangu na sio interest za wanasiasa
 
wewe kama mwanachama wa chama cha mbowe mzee wa konyagi umefaidika nini na hili swala?
 
sidhani kama umeelewa mada
 
Mko vizuri kwenye kujifariji hongera.

Hii ni ya pili baada ya Bob Marley wa Serengeti
 
Basi nikadhan inapepea kwenye mlingoti kumbe mwanachama kapiga nayo picha. Mbona haijawahi kukatazwa hio. Halafu huyo sidhan kama yeye mwanachama ni wa kwanza wa cdm kufika na bendera huko
 
Basi nikadhan inapepea kwenye mlingoti kumbe mwanachama kapiga nayo picha. Mbona haijawahi kukatazwa hio. Halafu huyo sidhan kama yeye mwanachama ni wa kwanza wa cdm kufika na bendera huko
Tutakuwekea ikiwa inapepea mlingotini
 
Hiyo ni ishara kubwa sana kwa CHADEMA! Hakika nuru ya CHADEMA itaangaza kila kona ya nchi yetu, italeta matumaini, uhuru na umoja ndani na hata nje ya nchi.
 
Mungu ibariki CHADEMA
Ilishalaaniwa hiyo inatembea na laana and it will never amount to anything. Tena hicho ki NGO sasa ndiyo kabisa kilishajifia. Maana kengeza anavyokula raha kwa rushwa y kodi za wabongo
 
Hutaamini macho yako 2025 nchi itakapoingia kwenye mchakato wa kutafuta maridhiano! Huku tukiambiwa CCM lazima itawale milele.
 
Jambo Zuri ila sio mara ya kwanza bendera ya chadema Pepea juu ya mlima huu ,yupo mwamba amewahi pandisha Pendera ya chama pale ,labda kumbukumbu zangu haziko sawa ruksa niweka sawa,

Kwa mantiki hii na kama nisemacho ni kweli basi tukio hili lisizime harakati za mwanzilishi wa tukio husika
 
Hiyo ni ishara kubwa sana kwa CHADEMA! Hakika nuru ya CHADEMA itaangaza kila kona ya nchi yetu, italeta matumaini, uhuru na umoja ndani na hata nje ya nchi.
Amen
 
Ilishalaaniwa hiyo inatembea na laana and it will never amount to anything. Tena hicho ki NGO sasa ndiyo kabisa kilishajifia. Maana kengeza anavyokula raha kwa rushwa y kodi za wabongo
Joined January 2023
 
Tunawapongeza wote waliopandisha bendera ya Chadema kileleni na tutawapongeza na wengine wote watakaoipandisha hapo baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…