Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Ukiitenga siasa wewe ni wa kuhurumiwa , siasa ni maisha , ndio maana nyie mnaposhabikia Simba na Yanga , Mara Mlete Mzungu au Mayele anatetema , watoto wa viongozi akina Nape , January , Riziwani , Malima na wengine wanagawana madaraka .Nasikitika kuona kijana akijihangaisha na siasa za maji taka badala ya kujikita kwenye uzalishaji mali utakaoweza kumkomboa yeye na familia yake dhidi matatizo ya kiuchumi.
My friend amka kutoka kwenye huo usingizi usije ukakojoa kitandani, hakuna mwanasiasa atakayekuletea kiroba cha unga nyumbani kwako.