• Unacheka unapoanguka au unaposhidwa jambo
• Hushindani na mtu lakini unajishindania mwenyewe na malengo yako.
• Ni mtu unayeamini kwamba hali ngumu unayopitia ni shule. Magumu hayadumu ni swala la muda tu.
• Upo tayari kwa mabadiliko yoyote.
• Unafahamu vipaumbele vyako hukurupukii kila jambo.
• Hukubaliani na maneno ya mtu yeyote kwenye mambo yasiyowezekana.