Ishi ki-Emoji uone cha mtema kuni

Ishi ki-Emoji uone cha mtema kuni

Cham Bee

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
3,516
Reaction score
1,854
Nasikia huyu [emoji7]amenusurika kuuwawa huko shinyanga kwa sababu ya macho mekundu.Haka [emoji12]kamepigwa bastora kwa kukonyeza mke wa mtu.Huyu [emoji35]kakosa ajira,huyu kalemaa shingo siku nyingi tu.[emoji123]Haka kapo jela kwa ubabe wa kijinga.
 
[emoji481] kamekosa wapenzi wake wengi [emoji251] kastyle kake kanapendwa [emoji377] ndio nakavuta sahv

Jamii Forums mobile app
 
[emoji1139]ukabila na ukabaila ni sehemu ya maisha.
 
Nimetoka [emoji90] naelekea [emoji371] kisha nika [emoji1437][emoji1493]
 
Back
Top Bottom