Ishi kulingana na uwezo wako, usikimbizane na walimwengu

Ishi kulingana na uwezo wako, usikimbizane na walimwengu

Sio nilihisi ndivyo ilivyo , uchumi unahitaji watu wakorofi na sio walokole hasa kwa Africa.
Mimi siyo mlokole ,naenda bar na sehemu za hivyo mara nyingi kwani huko ndiko waliko marafiki na watu wangu nanunua vyombo kama kawaida ila situmii pombe si kwasababu ya ulokole ila ni kichwa changu kutokuwa sawa pindi nikitumia
 
Kwenye hizi marathon za maisha ukianza kujifananisha na wengine unapotea, wewe kimbia mbio zako, jitoe Kwa uwezo wako. Usijali sana kuhusu Nini watu wanasema, kuwa na watu wachache wenye busara ambao wamekuzidi umri Kwa mbali, wafanye wawe karibu yako Ili mzoeane na wao ndo watakuambia Ukweli kuhusu maisha maana wamekuzidi uzoefu. Achana na mambo ya kutafuta validation kutoka Kwa watu utaishi Kwa depression sana. Jali watu wako.
 
Back
Top Bottom