Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
- Thread starter
-
- #21
Mimi siyo mlokole ,naenda bar na sehemu za hivyo mara nyingi kwani huko ndiko waliko marafiki na watu wangu nanunua vyombo kama kawaida ila situmii pombe si kwasababu ya ulokole ila ni kichwa changu kutokuwa sawa pindi nikitumiaSio nilihisi ndivyo ilivyo , uchumi unahitaji watu wakorofi na sio walokole hasa kwa Africa.
Sure bro kama ni hivyo nakubali sana.Mimi siyo mlokole ,naenda bar na sehemu za hivyo mara nyingi kwani huko ndiko waliko marafiki na watu wangu nanunua vyombo kama kawaida ila situmii pombe si kwasababu ya ulokole ila ni kichwa changu kutokuwa sawa pindi nikitumia
Ishi hivyo hivyo ,hakuna mtu aliwahi kufa Kwa njaaVipi kama uwezo ulionao hautoshi kuishi? 🤔
KabisaKey point : Usiji_compare na wengine...na usiwe na too much expectations
Nimekusoma 😂Nimevutiwa na usomaji wenu wa comment kimya kimya
Ni sahihiIshi kulingana na uwezo wako huku ukiendelea kutafuta hela.