Ishu ya Manara, Injinia Hersi Said umeyataka mwenyewe ipo siku yatakufika!

TFF NA 'KICHEKESHO' CHA SAKATA LA HAJI MANARA

Mbali na mambo mengine katika sakata hilo, bado pia kuna mengine ambayo ni pamoja na haya yafuatayo:

(1) Katika Kanuni zote za adhabu za TFF, hakuna hata moja ya kumtoza mtu shilingi milioni 20;

(2) Katika mashtaka yale, mlalamikaji alipaswa awe Wallace Karia mwenyewe na siyo Sekretarieti ya TFF ambayo ndiyo inailipa posho zote Kamati ya Maadili, hivyo lazima itekeleze maelekezo inayoielekeza kama mwajiri.

Hapa kwa tafsiri nyingine, mlalamikaji hakuwa Karia ila Sekretarieti ya TFF ambayo haijasema inahusikaje na ugomvi wa Manara na Karia wala kuwa ina maslahi gani na malumbano hayo, hasa pale ambapo yule anayedaiwa kudhalilishwa hakulalamika.

Mwisho katika hili, kwa vile Kamati ya Maadili inalipwa posho zote za shughuli zake na Sekretarieti ya TFF zikiwemo za kusikiliza mashtaka, hapa maana yake ni kwamba yenyewe ndiyo iliyokuwa mlalamikaji, shahidi wa upande wa mashtaka na hakimu aliyetoa hukumu hiyo;

(3) Karia aliyepaswa awe ndiye shahidi mkuu wa upande wa mashtaka, kisha wengine wote wabaki kuwa mashuhuda, lakini hakuitwa wala kufika ili kutoa ushahidi wake;

(4) Kamati ya Maadili ya TFF haijasema chanzo cha Manara kufanya hivyo wala haijataja mashahidi waliofika mbele yake ili kutoa ushahidi wao dhidi ya Manara.

Hii ni kwa sababu, inawezekana Manara alikuwa anajihami au kujibu mapigo baada ya kuchkozwa, kutukanwa au kudhalilishwa kwanza na Karia; na

(5) Kwa mujibu wa Sheria za TFF, anayefikishwa katika Kamati ya Maadili kwa masuala ya soka ni kiongozi wa kuchaguliwa wa Klabu, Chama cha Soka cha ngazi yoyote, chombo cha Shirikisho la Soka au mwenye nafasi ya kuteuliwa iliyopo kwenye muundo wa Shirikisho la Kandanda Duniani au FIFA.

Nafasi ya "Mhamasishaji" kama aliyonayo Manara haipo katika muundo wa FIFA, hivyo anaweza tu kuwa ni shabiki wa Yanga ambaye hawezi kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF ila mahakamani kama alimdhalilisha Karia.

Alipaswa ashtakiwe Kituo cha Polisi na Karia mwenyewe, kisha apelekwe mahakamani kama mtu binafsi na mlalamikaji akawe shahidi wa Jamhuri kama mtu binafsi na siyo kama Rais wa TFF.

Katika kutekeleza mfumo na muundo wa FIFA, Yanga yenyewe ina Afisa Habari wake, Hassan Bumbuli. Huyo ndiye anaweza kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF.

Kutokana na hali hiyo na hata vinginevyo, swali linalozuka hapa ni je, tangu lini Manara ni kiongozi wa kuchaguliwa au afisa wa kuteuliwa wa Yanga kwa kuzingatia muundo wa FIFA?

Ni cha kujifunza hapa na kukishika kila mshabiki na kukipigia kelele siku zote hadi Manara atakapoachiwa huru ni wajibu ni kwa nini mashabiki au shabiki anaporusha chupa ya maji uwanjani inaazibiwa klabu na si mhusika why Manara ahukumiwe kama yeye wakati anaipigania timu.

Kesi hii tutashinda kabla ya tar.6.8.2022.Tumuombe Mungu
 
Hizo sheria hata kuzisoma na kuelewa hamjui, mnachojua ni copy & paste tu.

Mnaposema "Manara alipaswa kushtakiwa na Karia personally kisha apelekwe mahakamani", kwani lile tukio la vurugu Manara na Karia walikutana mtaani? wale walikuwa kwenye shughuli ya mpira na Karia ndie boss.

Mmeandika hoja za kipuuzi tupu.
 
TFF NA 'KICHEKESHO' CHA SAKATA LA HAJI MANARA

Mbali na mambo mengine katika sakata hilo, bado pia kuna mengine ambayo ni pamoja na haya yafuatayo:

(1) Katika Kanuni zote za adhabu za TFF, hakuna hata moja ya kumtoza mtu shilingi milioni 20;

(2) Katika mashtaka yale, mlalamikaji alipaswa awe Wallace Karia mwenyewe na siyo Sekretarieti ya TFF ambayo ndiyo inailipa posho zote Kamati ya Maadili, hivyo lazima itekeleze maelekezo inayoielekeza kama mwajiri.

Hapa kwa tafsiri nyingine, mlalamikaji hakuwa Karia ila Sekretarieti ya TFF ambayo haijasema inahusikaje na ugomvi wa Manara na Karia wala kuwa ina maslahi gani na malumbano hayo, hasa pale ambapo yule anayedaiwa kudhalilishwa hakulalamika.

Mwisho katika hili, kwa vile Kamati ya Maadili inalipwa posho zote za shughuli zake na Sekretarieti ya TFF zikiwemo za kusikiliza mashtaka, hapa maana yake ni kwamba yenyewe ndiyo iliyokuwa mlalamikaji, shahidi wa upande wa mashtaka na hakimu aliyetoa hukumu hiyo;

(3) Karia aliyepaswa awe ndiye shahidi mkuu wa upande wa mashtaka, kisha wengine wote wabaki kuwa mashuhuda, lakini hakuitwa wala kufika ili kutoa ushahidi wake;

(4) Kamati ya Maadili ya TFF haijasema chanzo cha Manara kufanya hivyo wala haijataja mashahidi waliofika mbele yake ili kutoa ushahidi wao dhidi ya Manara.

Hii ni kwa sababu, inawezekana Manara alikuwa anajihami au kujibu mapigo baada ya kuchkozwa, kutukanwa au kudhalilishwa kwanza na Karia; na

(5) Kwa mujibu wa Sheria za TFF, anayefikishwa katika Kamati ya Maadili kwa masuala ya soka ni kiongozi wa kuchaguliwa wa Klabu, Chama cha Soka cha ngazi yoyote, chombo cha Shirikisho la Soka au mwenye nafasi ya kuteuliwa iliyopo kwenye muundo wa Shirikisho la Kandanda Duniani au FIFA.

Nafasi ya "Mhamasishaji" kama aliyonayo Manara haipo katika muundo wa FIFA, hivyo anaweza tu kuwa ni shabiki wa Yanga ambaye hawezi kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF ila mahakamani kama alimdhalilisha Karia.

Alipaswa ashtakiwe Kituo cha Polisi na Karia mwenyewe, kisha apelekwe mahakamani kama mtu binafsi na mlalamikaji akawe shahidi wa Jamhuri kama mtu binafsi na siyo kama Rais wa TFF.

Katika kutekeleza mfumo na muundo wa FIFA, Yanga yenyewe ina Afisa Habari wake, Hassan Bumbuli. Huyo ndiye anaweza kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF.

Kutokana na hali hiyo na hata vinginevyo, swali linalozuka hapa ni je, tangu lini Manara ni kiongozi wa kuchaguliwa au afisa wa kuteuliwa wa Yanga kwa kuzingatia muundo wa FIFA?

Ni cha kujifunza hapa na kukishika kila mshabiki na kukipigia kelele siku zote hadi Manara atakapoachiwa huru ni wajibu ni kwa nini mashabiki au shabiki anaporusha chupa ya maji uwanjani inaazibiwa klabu na si mhusika why Manara ahukumiwe kama yeye wakati anaipigania timu.

Kesi hii tutashinda kabla ya tar.6.8.2022.Tumuombe Mungu
Ujawai kuona shabiki anafungiwa kuingia kiwanjani kutokana na fujo zake.ata mkisema manara ni shabiki basi atafungiwa kama shabiki kuto jiusisha na mpira kwa miaka 2

Sent from my INE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Bush lawyers mnamuingiza chaka huyu mpuuzi naye kaingia mazima
Screenshot_20220726-102835.jpg
 
Kwahiyo wanagombania bwana na ommy dimpoz
Dimpoz ni shemela wa boss, si rafiki wa boss ndo mume wa Dimpoz, tangu takadini aingie pale ameshatibua na anataka Dimpoz atoke, eti ni shabiki wa simba, si alikua kitengo cha graphic designer, kaamua kujitoa, japo boss hataki atoke.

Yaan Takadini ni mbayaa huyu kiumbe khaaaah.
 
Hapo penyewe tangu aingie utopoloni anavuruga kila sehemu, na sahivi ndo boss anajilia biriani, mbna ndo mama mjengoo woiiiiih

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ndio maana Karia alimwambia habari za Kinyesi kwenye Chupi? sasa naanza kuunganisha dots
 
Dimpoz ni shemela wa boss, si rafiki wa boss ndo mume wa Dimpoz, tangu takadini aingie pale ameshatibua na anataka Dimpoz atoke, eti ni shabiki wa simba, si alikua kitengo cha graphic designer, kaamua kujitoa, japo boss hataki atoke.

Yaan Takadini ni mbayaa huyu kiumbe khaaaah.
Wanagombea mjegejeo
 
Kwa mwelekeo ulivyo na akili ya Manara ya kunyea kambi kawanyea mpaka tff.... bado kwako yatakukuta muda utaongea.

Akili ya Manara ni ya hovyo tena ya kishetani na mpaka hapa mtaungana namie!
1) Kamtukana Mo Dewji na kusema anamwonea wivu kwa umaarufu wake.
2) Kagombana na Babra na kumtolea maneno machafu kisa et anamwonea wivu yeye
kujulikana kuliko wao
3) Kagombana nq waandishi wa habar wasio na idadi tena kwa lugha chafu
4) Analugha chafu mpaka kwa viongozi wa serikali aisee daa
5) Kagombana na Antonio Nugaz kisa anamwonea wivu kwa gari lake
6) Na ukiangalia kwa jicho latatu kuna kitu hakiko sawa na Mwakalebela....
7)....... and so on naye kagombna nae daaa

Tunajifunza nini kwa Manara!

1) Ni mtu mwenye kiburi, na kiburi huleta majivuno.
2) Ni mtu asiyeshaurika
3) Ni mtu anayependa kujikweza, yeye ndio yeye
4) Ni mtu asiyeheshimu wakubwa wake hivyo oneday Injia jiandae pamojq na Urais wako
5) Huyu ni Mr. misifa...... anadai Nila yeye Simba haiendi wala Yanga haiendi hajui Simba na Yanga alizikuta
6) Behind the scene mtoto umleavyo ndivyo akuavyo hivyo hata wazazi wake nina doubt na tabia zao
8) Tff imemlea vibaya Manara ndo mana anawashika mpaka sharubu halaf hakuna mnachofanya
9) Ukimwangaliq Manara hana utofauti na Mange Kimambi ushawishi wa kisenge
10) Baadhi ya wandishi wa habar wanashindwa kueleza ukweli kwamba Manara kakosea sababu wanaogopa Manara akiishinda Tff watasemwa sana mbele ya kameraz
11) Tff mkishindwa na mkabalance hili swala la Manara kukosea kwa namna vyovyote ndio mtakuwa mmempa Nafasi ya kuwaweka chini ya Sheria rasmi
12) Hasira hasara.... Yanga fc chachu ndogo huchachua donge zima
13) Manara qnastahili adhabu nyingine tena, yaani iongezwe.... Hakuna mtu aliye juu
NB:

#KAMA HUO UMAARUFU UNAUTAFUTA KWA KWENDA KUCOMMENT MANENO YA KIPUUZ KWA BILIONEA MO DEWJI, MTU ANAYELIPA MAMILIONI YA KODI SERIKALINI na SERIKALI HAIKUSEMA LOLOTE..... HALAFU UNAVAMIA POST ZAKE NAKUANDIKA UTUMBO NIBINADAMU WEWE KWELI- HALAFU ANAKUNYAMAZIA KIMYA USHUKURU!
#LEO UNATAFUTA SYMPATH KWA SERIKALI! HUNA HAYA?
#YOTE UNAYAFANYA KUMFURAHISHA INJINIA...

NINGEKUWA MIMI WE MBWA UNGEJUTA!
huyu hapa Manara
JamiiForums1087126695.jpg
 
Kwamba Mo anamuonea wivu???kwa lipi alilikuwa nalo,mpuuzi
 
TFF NA 'KICHEKESHO' CHA SAKATA LA HAJI MANARA

Mbali na mambo mengine katika sakata hilo, bado pia kuna mengine ambayo ni pamoja na haya yafuatayo:

(1) Katika Kanuni zote za adhabu za TFF, hakuna hata moja ya kumtoza mtu shilingi milioni 20;

(2) Katika mashtaka yale, mlalamikaji alipaswa awe Wallace Karia mwenyewe na siyo Sekretarieti ya TFF ambayo ndiyo inailipa posho zote Kamati ya Maadili, hivyo lazima itekeleze maelekezo inayoielekeza kama mwajiri.

Hapa kwa tafsiri nyingine, mlalamikaji hakuwa Karia ila Sekretarieti ya TFF ambayo haijasema inahusikaje na ugomvi wa Manara na Karia wala kuwa ina maslahi gani na malumbano hayo, hasa pale ambapo yule anayedaiwa kudhalilishwa hakulalamika.

Mwisho katika hili, kwa vile Kamati ya Maadili inalipwa posho zote za shughuli zake na Sekretarieti ya TFF zikiwemo za kusikiliza mashtaka, hapa maana yake ni kwamba yenyewe ndiyo iliyokuwa mlalamikaji, shahidi wa upande wa mashtaka na hakimu aliyetoa hukumu hiyo;

(3) Karia aliyepaswa awe ndiye shahidi mkuu wa upande wa mashtaka, kisha wengine wote wabaki kuwa mashuhuda, lakini hakuitwa wala kufika ili kutoa ushahidi wake;

(4) Kamati ya Maadili ya TFF haijasema chanzo cha Manara kufanya hivyo wala haijataja mashahidi waliofika mbele yake ili kutoa ushahidi wao dhidi ya Manara.

Hii ni kwa sababu, inawezekana Manara alikuwa anajihami au kujibu mapigo baada ya kuchkozwa, kutukanwa au kudhalilishwa kwanza na Karia; na

(5) Kwa mujibu wa Sheria za TFF, anayefikishwa katika Kamati ya Maadili kwa masuala ya soka ni kiongozi wa kuchaguliwa wa Klabu, Chama cha Soka cha ngazi yoyote, chombo cha Shirikisho la Soka au mwenye nafasi ya kuteuliwa iliyopo kwenye muundo wa Shirikisho la Kandanda Duniani au FIFA.

Nafasi ya "Mhamasishaji" kama aliyonayo Manara haipo katika muundo wa FIFA, hivyo anaweza tu kuwa ni shabiki wa Yanga ambaye hawezi kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF ila mahakamani kama alimdhalilisha Karia.

Alipaswa ashtakiwe Kituo cha Polisi na Karia mwenyewe, kisha apelekwe mahakamani kama mtu binafsi na mlalamikaji akawe shahidi wa Jamhuri kama mtu binafsi na siyo kama Rais wa TFF.

Katika kutekeleza mfumo na muundo wa FIFA, Yanga yenyewe ina Afisa Habari wake, Hassan Bumbuli. Huyo ndiye anaweza kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF.

Kutokana na hali hiyo na hata vinginevyo, swali linalozuka hapa ni je, tangu lini Manara ni kiongozi wa kuchaguliwa au afisa wa kuteuliwa wa Yanga kwa kuzingatia muundo wa FIFA?

Ni cha kujifunza hapa na kukishika kila mshabiki na kukipigia kelele siku zote hadi Manara atakapoachiwa huru ni wajibu ni kwa nini mashabiki au shabiki anaporusha chupa ya maji uwanjani inaazibiwa klabu na si mhusika why Manara ahukumiwe kama yeye wakati anaipigania timu.

Kesi hii tutashinda kabla ya tar.6.8.2022.Tumuombe Mungu
Ukiokota Pumba huko uwe unatafakari kabla ya kuzimwaga hapa.....
Hivi hata mtoto mdogo hawezi kuona kuwa sekratarieti na Rais havitengani?....
Nimeishia hapo....
Chini sijaendelea utasoma mwenyewe.
 
Kwa mwelekeo ulivyo na akili ya Manara ya kunyea kambi kawanyea mpaka tff.... bado kwako yatakukuta muda utaongea.

Akili ya Manara ni ya hovyo tena ya kishetani na mpaka hapa mtaungana namie!
1) Kamtukana Mo Dewji na kusema anamwonea wivu kwa umaarufu wake.
2) Kagombana na Babra na kumtolea maneno machafu kisa et anamwonea wivu yeye
kujulikana kuliko wao
3) Kagombana nq waandishi wa habar wasio na idadi tena kwa lugha chafu
4) Analugha chafu mpaka kwa viongozi wa serikali aisee daa
5) Kagombana na Antonio Nugaz kisa anamwonea wivu kwa gari lake
6) Na ukiangalia kwa jicho latatu kuna kitu hakiko sawa na Mwakalebela....
7)....... and so on naye kagombna nae daaa

Tunajifunza nini kwa Manara!

1) Ni mtu mwenye kiburi, na kiburi huleta majivuno.
2) Ni mtu asiyeshaurika
3) Ni mtu anayependa kujikweza, yeye ndio yeye
4) Ni mtu asiyeheshimu wakubwa wake hivyo oneday Injia jiandae pamojq na Urais wako
5) Huyu ni Mr. misifa...... anadai Nila yeye Simba haiendi wala Yanga haiendi hajui Simba na Yanga alizikuta
6) Behind the scene mtoto umleavyo ndivyo akuavyo hivyo hata wazazi wake nina doubt na tabia zao
8) Tff imemlea vibaya Manara ndo mana anawashika mpaka sharubu halaf hakuna mnachofanya
9) Ukimwangaliq Manara hana utofauti na Mange Kimambi ushawishi wa kisenge
10) Baadhi ya wandishi wa habar wanashindwa kueleza ukweli kwamba Manara kakosea sababu wanaogopa Manara akiishinda Tff watasemwa sana mbele ya kameraz
11) Tff mkishindwa na mkabalance hili swala la Manara kukosea kwa namna vyovyote ndio mtakuwa mmempa Nafasi ya kuwaweka chini ya Sheria rasmi
12) Hasira hasara.... Yanga fc chachu ndogo huchachua donge zima
13) Manara qnastahili adhabu nyingine tena, yaani iongezwe.... Hakuna mtu aliye juu
NB:

#KAMA HUO UMAARUFU UNAUTAFUTA KWA KWENDA KUCOMMENT MANENO YA KIPUUZ KWA BILIONEA MO DEWJI, MTU ANAYELIPA MAMILIONI YA KODI SERIKALINI na SERIKALI HAIKUSEMA LOLOTE..... HALAFU UNAVAMIA POST ZAKE NAKUANDIKA UTUMBO NIBINADAMU WEWE KWELI- HALAFU ANAKUNYAMAZIA KIMYA USHUKURU!
#LEO UNATAFUTA SYMPATH KWA SERIKALI! HUNA HAYA?
#YOTE UNAYAFANYA KUMFURAHISHA INJINIA...

NINGEKUWA MIMI WE MBWA UNGEJUTA!
Ila bila Manara Yanga wasingekuwa mabingwa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom