Ishu ya Msuva ni GSM au Mo Dewji nani kuibuka mshindi?

Mkuu umesoma vizuri zile Qualifications mbili nilizokuwekea kwa picha hapo juu?

Umesoma vizuri nilichokiandika ukakielewa?

Ni kweli Msuva hana timu kwa sasa

Ila kwa mujibu wa vigezo walivyoweka CAF ili mchezaji acheze mashindano ya CAF ni lazima awe na leseni.

Msuva kutokuwa na timu yeyote inayoshiriki michuano ya CAF haifanyi aruhusiwe kushiriki ligi ya CAF bila leseni.

Umeongea kuhusu dirisha dogo lakini kama umesoma maelezo yangu paragraph ya mwisho utaona hicho kitu nimeelezea.
 
Achana nao hao mbumbumbu wa Mo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…