Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
ISIMANI YAFURIKA WANANCHI WAMPOKEA EMMANUELA KWA MIKONO MIWILI.
Mamia ya Wananchi wa Tarafa ya Pawaga Kata ya Itunundu Wilaya ya Iringa Vijijini wamejitokeza katika Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani ambapo wameeleza kuwa imani yao ni kubwa kwa Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Emmanuela Mtatifikolo katika kuleta Maendeleo na kukuza uchumi wa Wananchi wa Jimbo hilo hivyo watampa kura zote za ndiyo.