Isingekuwa hawa vijana hawa, Senegal isingeshinda AFCON

Isingekuwa hawa vijana hawa, Senegal isingeshinda AFCON

Adryz

Senior Member
Joined
Dec 7, 2025
Posts
194
Reaction score
527
Hawa vijana wa kigalatia ndo sababu ya kipekee kuwezesha timu ya mpira ya taifa Senegal kuishinda Morocco kwenye Fainali za Afcon na kutwaa kombe.

Vijana hao wagalatia ni Eduardo Mendy (kipa) Nicholas Jackson (Mshambualiaji), Antoinne Mendy (kiungo) na Ismail Jakobs (beki).

Siku hiyo ya jumapili kabla ya mechi walijifungia na kufanya maombi makali sana. Na ndio ilipelekea Senegal kushinda.

Timu ya taifa Morocco wote ni kobaz akiwemo Brahim Diaz na Aguero.

Mzee makoti Makebo Lucha Al-mukheef Munch wa Annabelle Ritz gallow bird THE BIG SHOW Malaria 2 kahtaan Jagina

adriz
 
Kobaz huwa hawana imani thabiti, hata hawa wa kibongo isingekuwa ukobazi mwingi timu ingeishalibeba kombe. Jezi tu kuwa na mistari kifuani kama msalaba iliwatoa kobazi rinda povu likawatoka wakidhani timu imekuwa ya kikristo na kupelekea jezi hiyo kupotezwa kusikojulikana kunako Afcon za misri na timu ikaishia hatua za makundi bila kupata pointi
 
Makafiri wa kibongo mnacheweza ni wizi tu wa mali za serikal mpira waachien kobaz
 
Hili lina umuhimu gn? Naomba uliza je uislam ni dini au ni harakati za ksiasa? Kama si harakati za ksiasa ni kwann huwa wanaingia mstuni au vitan kutaka kupndua serikali halali ili waweke ya kslam? Ni kwann uislam unaenezwa kwa mapgano na kulazmisha raia kuwa waislam?
 
Edo mendy,paul pogba,ferd mendy,anthon rudiger hawa ni waislam pure,majina wala yasikudanganye
Halafu Paul Pogba, Antony Rudigar na ferdinand Mendy hawakuzaliwa waislamu walisilimu. Wengine waliosilimu ni Clarence Seedorf, Patrick Vieira, Nicholas Anelka na Frank Ribery.
 
Back
Top Bottom