Maimae peponi wote tunaenda.Mkuu usepende kunitoa kwenye reli. Safari hii nimepania kufa katika imani kusudi wale mabikra 72 walioko pepeoni wawe halali yangu.
Matraco yako.Safi toto tundu boyfriend yake mwajuma ndala ndefu.
Nyau ww
Edouardo mendy ni muislam wa kuzaliwaSawa hao wote ni kobaz ispokuwa Eduardo Mendy.
Twenzetuni peponi tuenjoy mabikra 72.Maimae peponi wote tunaenda.
Na tuongeze ibada mwenyezi atupatie bonus ya hao 28 waliosalia kukamilisha 100.Twenzetuni peponi tuenjoy mabikra 72.
Tutaongezewa tu kwa sababu watu watakaoionja pepo niwachache sana.Na tuongeze ibada mwenyezi atupatie bonus ya hao 28 waliosalia kukamilisha 100.
Kuongezea tu kwa upande wa MorocoHawa vijana wa kigalatia ndo sababu ya kipekee kuwezesha timu ya mpira ya taifa Senegal kuishinda Morocco kwenye Fainali za Afcon na kutwaa kombe.
Vijana hao wagalatia ni Eduardo Mendy (kipa) Nicholas Jackson (Mshambualiaji), Antoinne Mendy (kiungo) na Ismail Jakobs (beki).
Siku hiyo ya jumapili kabla ya mechi walijifungia na kufanya maombi makali sana. Na ndio ilipelekea Senegal kushinda.
Timu ya taifa Morocco wote ni kobaz akiwemo Brahim Diaz na Aguero.
Mzee makoti Makebo Lucha Al-mukheef Munch wa Annabelle Ritz gallow bird THE BIG SHOW Malaria 2 kahtaan Jagina
adriz
Hakika mkuu, duniani tumejaa vipanga wengi wenye dhambi wa mbinguni tunahesabika.Tutaongezewa tu kwa sababu watu watakaoionja pepo niwachache sana.
Fayaaa 🔥.Hakika mkuu, duniani tumejaa vipanga wengi wenye dhambi wa mbinguni tunahesabika.
Mgerasi njoo na I'd nyingine yenye jina la adriz de mbususu
secretarybird genge lenu mnazidi kuchafua brand yangu.Mgerasi njoo na I'd nyingine yenye jina la adriz de mbususu
Nililimuonya huyu Busu la Kenge a.k.a Mcmillan de Maghayo Driz de Mafwele, na Lose nut aache kukuchafua jina lakini hasikii. Sasa ngoja niwe mkali kidogo.secretarybird genge lenu mnazidi kuchafua brand yangu.
Oya Intelligent businessman ndio maana naitaka Vincenzo 2 , nahitaji skills nyingine mpya nidiki na wahuni kama hawa
Huyu mgerasi siku hizi mbona umemuacha anatamba sanasecretarybird genge lenu mnazidi kuchafua brand yangu.
Oya Intelligent businessman ndio maana naitaka Vincenzo 2 , nahitaji skills nyingine mpya nidiki na wahuni kama hawa