Isingekuwa hawa vijana hawa, Senegal isingeshinda AFCON

Kuongezea tu kwa upande wa Moroco
Mfungaji bora wao Brahim Diaz ni Mkristu pamoja na beki wa kutumainiwa Masina
 
Edouard Mendy ni Muislam acha kumtoa katika njia ya haki na kumpakazia njia ya kufuru, hapo katika uliowataja kondoo ni Nicolas Jackson tu, Senegal wote wanakubali Mungu ni mmoja hajazaa wala hajazaliwa.

Nyumbu we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…