[emoji1] [emoji1]Naanza kuona simba ikichukua kombe mara 10 mfululizo. Rais wa nchi, rais wa tff, rais wa Dar wote msimbazi
Kimsingi biashara zote Manji na Dewj zinafafana kwenye uhalali na kodi. Haiwezekani Dewj awe safi kuliko Manji[emoji1] [emoji1]
Am telling you halaf jamaa walivo na roho mbaya wanaeza fanya hivo
Kila mtu anaye idhamini yanga kama Manji wata mfilisi
Kumtumia Rais wetu kuipa Simba kombe sio povu? Mtansaidia ww 2020 kupiga kampeni dhidi ya mashabiki Wa Yanga? Mambo mengine msidhani ni mepesi hivyo. Msimpake Rais rangi nyekundu kwenye collar, ngoja abaki neutral kwa sasa anapokuwa baba Wa wote.Team mapovu
Taabu kweli kweli mkuuTeam mapovu
Yeah watu wataogopa kuwekeza kwa kuwa watajua wana fight na prezoK
Kimsingi biashara zote Manji na Dewj zinafafana kwenye uhalali na kodi. Haiwezekani Dewj awe safi kuliko Manji