kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kwa kiasi kikubwa. (87℅) ushindi wa Simba umechangiwa na uwepo Wa mfadhali (Dewji) kwa club na kiasi kikubwa (87%) cha kushindwa kwa Yanga kumechangiwa na kukosekana kwa mfadhili (Manji) Wa club.
Serikali ilihusika kwa kuondoka kwa mfadhili wa Yanga kutokana na sababu fulani muhimu ambazo watanzania wengi hawakusikia makosa yake.
Hivyo isingekuwa vizuri wapenzi Wa Yanga wakahisi mh. Rais ni sehemu ya ushindi Wa Simba. Ni heri Rais wetu akaachwa kwenye hili la Simba na Yanga (abaki neutral kwa muonekano) ili kuepuka kuamsha hisia za Usimba na Uyanga siku hiyo.
Ni maoni yangu tu