Mimi ni mpenzi wa Yanga na nna hisi
Bashite na Magufuli ambao ni mashabiki wa Simba wali mhujum Manji ili tim yao ishinde (Nahisi)
Any way tabia za Makonda na JPM zina nifanya niwe proud kwamba hawashabikii Yanga hatuna mashabiki wa ajab kama hao. Kwa hilo huwa nafurahi.
Mm ni Simba damu damu lkn niliposikia huyu shithole atatoa kombe. Sishabikii tena Simba. Huyu shithole simpendi kinoma. Na siwezi tena kushabikia timu za home mpaka kesho kutwa.Naanza kuona simba ikichukua kombe mara 10 mfululizo. Rais wa nchi, rais wa tff, rais wa Dar wote msimbazi
Niliposikia huyu jamaa atatoa kombe. Sitashabikia tena timu za home mpaka keshokutwaHivi Rais wetu JPM kumbe ni mshabiki wa Simba???!!!! Sikufahamu hili...
Eeh ni shabiki wa SimbaHivi Rais wetu JPM kumbe ni mshabiki wa Simba???!!!! Sikufahamu hili...
Wamechangia nini kwenye mshahara wa Okwi, Boko, Kichuya, Mkude, Ndemla, Mzamiru, Kapombe, Kwasi, Mlipili, Erasto, Laudit Mavugo, na mastaa wengine pale msimbazi??Rais na Dar RC ni Simba damu damu.
Hauko peke ako babeMimi nikae kimya tu!nina aleji na magufuli
Kumfunga Manji. Halijui hilo.Wamechangia nini kwenye mshahara wa Okwi, Boko, Kichuya, Mkude, Ndemla, Mzamiru, Kapombe, Kwasi, Mlipili, Erasto, Laudit Mavugo, na mastaa wengine pale msimbazi??
Niliposikia huyu jamaa atatoa kombe. Sitashabikia tena timu za home mpaka keshokutwa
Baki na maoni yako. Wacha Rais akatoe ubingwa kwa 'Wanyama'.Kwa kiasi kikubwa. (87℅) ushindi wa Simba umechangiwa na uwepo Wa mfadhali (Dewji) kwa club na kiasi kikubwa (87%) cha kushindwa kwa Yanga kumechangiwa na kukosekana kwa mfadhili (Manji) Wa club.
Serikali ilihusika kwa kuondoka kwa mfadhili wa Yanga kutokana na sababu fulani muhimu ambazo watanzania wengi hawakusikia makosa yake.
Hivyo isingekuwa vizuri wapenzi Wa Yanga wakahisi mh. Rais ni sehemu ya ushindi Wa Simba. Ni heri Rais wetu akaachwa kwenye hili la Simba na Yanga (abaki neutral kwa muonekano) ili kuepuka kuamsha hisia za Usimba na Uyanga siku hiyo.
Ni maoni yangu tu