Isingekuwa vema kwa Rais kuipa Simba kombe la VPL

Isingekuwa vema kwa Rais kuipa Simba kombe la VPL

Mimi ni mpenzi wa Yanga na nna hisi
Bashite na Magufuli ambao ni mashabiki wa Simba wali mhujum Manji ili tim yao ishinde (Nahisi)

Any way tabia za Makonda na JPM zina nifanya niwe proud kwamba hawashabikii Yanga hatuna mashabiki wa ajab kama hao. Kwa hilo huwa nafurahi.

Hivi Rais wetu JPM kumbe ni mshabiki wa Simba???!!!! Sikufahamu hili...
 
Acha awape ..tuchangie timu yetu njaa ikiondoka hao Simba hawana chao na wanalijua hili ndio maana wakamtumia'makalio manene" kuivuruga Yanga#umojaninguvu
 
naona vyura wanaruka ruka kwenye huu Uzi...mwaka mmoja tu wamenza kuhaha...

na bado.
 
Naanza kuona simba ikichukua kombe mara 10 mfululizo. Rais wa nchi, rais wa tff, rais wa Dar wote msimbazi
Mm ni Simba damu damu lkn niliposikia huyu shithole atatoa kombe. Sishabikii tena Simba. Huyu shithole simpendi kinoma. Na siwezi tena kushabikia timu za home mpaka kesho kutwa.
Shubamit kbsa.
 
Wamechangia nini kwenye mshahara wa Okwi, Boko, Kichuya, Mkude, Ndemla, Mzamiru, Kapombe, Kwasi, Mlipili, Erasto, Laudit Mavugo, na mastaa wengine pale msimbazi??
Kumfunga Manji. Halijui hilo.
 
Niliposikia huyu jamaa atatoa kombe. Sitashabikia tena timu za home mpaka keshokutwa

Mimi nitashabikia timu zetu..isipokuwa nitawashangaa washauri wa Rais kama kweli 'watamruhusu' afanye kitendo hicho ambacho kitakuwa very damaging kwa serikali, CCM na yeye mwenyewe Rais...ila naamini yeye hataweza kufanya hivyo..nadhani atamtuma PM au Waziri Mwakyembe ambaye ni Simba...
 
Asubiri matusi rasmi ya kimpira mpira na ya utani wa jadi ,muhimu asifunge MTU wala kuteka ,Hahaha
 
Kwa kiasi kikubwa. (87℅) ushindi wa Simba umechangiwa na uwepo Wa mfadhali (Dewji) kwa club na kiasi kikubwa (87%) cha kushindwa kwa Yanga kumechangiwa na kukosekana kwa mfadhili (Manji) Wa club.

Serikali ilihusika kwa kuondoka kwa mfadhili wa Yanga kutokana na sababu fulani muhimu ambazo watanzania wengi hawakusikia makosa yake.

Hivyo isingekuwa vizuri wapenzi Wa Yanga wakahisi mh. Rais ni sehemu ya ushindi Wa Simba. Ni heri Rais wetu akaachwa kwenye hili la Simba na Yanga (abaki neutral kwa muonekano) ili kuepuka kuamsha hisia za Usimba na Uyanga siku hiyo.

Ni maoni yangu tu
Baki na maoni yako. Wacha Rais akatoe ubingwa kwa 'Wanyama'.
This Is Simba
 
Back
Top Bottom