Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Ndio muache sasa kuipa misifa ya kijinga ni ushamba katika zama hizi za utandawazi. Dunia ni kama kijiji.
Wewe kama unaweza lianzishe tu. Mshamba wewe. Njoo tu hapa nakusubiri. Ninauhakika utajificha kama panya akiona paka.Nilimjibu yule alisema hatuna hizo....
Heey, na usinifanye nianze kukuumbua hapa. Najua jinsi hali ilivyo huko kuhusiana na mambo haya.
Wewe kama unaweza lianzishe tu. Mshamba wewe. Njoo tu hapa nakusubiri. Ninauhakika utajificha kama panya akiona paka.
Siwezi kujibu cooked information.Owkeey....
Tuanze na hili:
Keter: 95 per cent of primary schools connected to electricity
Over 96 percent of primary schools connected to electricity | Kenya News Agency
Haya, nipe jibu ya Tanzania
Labda jarivu kunijibu kwanza hapa.Owkeey....
Tuanze na hili:
Keter: 95 per cent of primary schools connected to electricity
Over 96 percent of primary schools connected to electricity | Kenya News Agency
Haya, nipe jibu ya Tanzania
Siwezi kujibu cooked information.
Leta taarifa toka kwenye source za kuaminika siyo hizo zenu za kupika.
Siwezi kujibu cooked information.
Leta taarifa toka kwenye source za kuaminika siyo hizo zenu za kupika.
Labda jarivu kunijibu kwanza hapa.
Hii hali inasababishwa na nini? Kwamba Kibera ni no. 2 duniani kwa kuwa na slums kubwa
2. KIBERA, KENYA
Population - 2.5 Million
Only 20 per cent of Kibera has an electricity supply and until recently people were dying from cholera. A cheap alcoholic brew - Changaa - is widely available with a very high content of Methanol, while cheap drugs and glue sniffing are an increasing problem.
Largest slums in the the world
My friend give me statistical information. Sasa unaleta taarifa zilizotolewa na wakenya "allafrica.com" wanatoa taarifa za wakenya wanavyosema.Acha siasa mobb, leta tu hata report ya kupika from your side.
Nimekupatia sources mbili ambazo hazihuaiani na serikali. Daily Nation tangu enzi ya Jomo Kenyatta ni gazeti very balanced and unbiased kabisa.
AllAfrica basi.
Kenya: Government to Drill Water in Schools Connected to Power
My friend give me statistical information. Sasa unaleta taarifa zilizotolewa na wakenya "allafrica.com" wanatoa taarifa za wakenya wanavyosema.
Give me statistical information from research website sawa dogo. Nyie mnatengeneza data ili muonekane mko juu. Then give me by evidence like these in Turkana
And this here down
Reach & Outreach
Usiniletee data za kupika.
Issue za laptop nimeshakujibu. Kamba hayo ni mambo ya kawaida tu.Tujikite kwenye mada ya laptop kwanza.
Nilete zetu nijibu nini? wewe umesema unataka kuniumbua!! Sasa inaonekana wewe ndiye umeumbuka. Wewe ndiye unatakiwa ulete information nitakujibu nionavyo mimi.Sawa, nimekubali, hizi data zetu zimepikwa.
Leta za Kwenyu sasa...achana na Kenya.
Nilete zetu nijibu nini? wewe umesema unataka kuniumbua!! Sasa inaonekana wewe ndiye umeumbuka. Wewe ndiye unatakiwa ulete information nitakujibu nionavyo mimi.
Na hizo taarifa ninazotoa ni sehemu ya kukujibu.
My friend only 36% population in your country have access to electricityUkishindwa....kwaheryy!
U already know what exactly I am driving at....laptops mtawezaje ilhali kwenye mashule mengi na manyumba hamna thitima?
Kenya: Electricity access stats at 56%
CHUMO: Kenya’s electricity access rate now at a historic 60 per
Hahaha! LDCs
Tafuta ya 2016/17, dadaMy friend only 36% population in your country have access to electricity
View attachment 550270
Access to electricity (% of population) | Data
Nataka usilete uongo hapa.
Nimekukataza kuniletea taarifa za magazeti yenu hayo. Nataka uliletee taarifa kutoka kwenye source zilizofanyiwa research. Siyo magazeti yenu yanayoeneza propaganda. Nimekupatia information za kutoka World bank wewe unaleta taarifa za kuunga unga.Tafuta ya 2016/17, dada
Affordability of Kenya's electricity central for expanding access
It is bcos of the above measures that led to this...
https://citizentv.co.ke/business/4-8-million-households-connected-to-electricity-kenya-power-134870/
A Tz & Kenya argument is not over before mentioning of KIBERA.
Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
Nimekukataza kuniletea taarifa za magazeti yenu hayo. Nataka uliletee taarifa kutoka kwenye source zilizofanyiwa research. Siyo magazeti yenu yanayoeneza propaganda. Nimekupatia information za kutoka World bank wewe unaleta taarifa za kuunga unga.
Ukitaka hizo mimi niko nazo nyingi tu. Lakini sitaki issue hizo maana tutaonekana wapumbavu wote. Ni kheri akabaki mmoja kuonekana hivyo mwingine akimuelimisha taratibu taratibu na baadae ataondoa upumbavu wa kupika data.
Wewe unataka kuniumbua mimi. Je, unauwezo wa kuniumbua kweli au unataka uumbuke wewe?Nilimjibu yule alisema hatuna hizo....
Heey, na usinifanye nianze kukuumbua hapa. Najua jinsi hali ilivyo huko kuhusiana na mambo haya.