Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Ndio muache sasa kuipa misifa ya kijinga ni ushamba katika zama hizi za utandawazi. Dunia ni kama kijiji.
Nilimjibu yule alisema hatuna hizo....
Heey, na usinifanye nianze kukuumbua hapa. Najua jinsi hali ilivyo huko kuhusiana na mambo haya.