Hata kama ni msumbiji, huoni ni watz wameuliwa? Ama u cant read in between the lines?
Hawa watu walianza amboni tanga wakafeli, wakaenda kibiti pwan wakafeli, wakakimbilia huko Mozambique.. na ndiko waliko fanya haya mauaj sio hapaIts just the beginning hata hawajafika level ya Mungiki au ata pokot bandits.
.Kumbuka hawajaanza kutumia bunduki ,sucide bombers ama IEDs na pia hawajaanza ku fanya massive radicalization among the Muslim youths in Tanzania.
Anyway wacha tuone how the situation will be handled differently.
Kama Kenya wana kiingereza kibovu sijui cha Tanzania kitaitwaje. Wale wananchi wameuliwa pale mtwara na magaidi ?Au kuna mtwara ya Mozambique na tzedi?
Siku ya kwanza kuchungulia jukwaa la siasa ili kuthibitisha haya. Nimeona Uzi umefunguliwa huko ,kuna magaidi wameua watzedi huko mtwara.Unaona sasa jinsi msivyojua kiingereza.
Haya nioneshe kwenye article wspi wamesema watu wameuawa Tanzania.
Naona albino huaga wanawindwa congo!!sasawa...Huwezi linganisha vyombo vya ulinzi vya Tanzania na nchi nyingine yoyote ile hapa Africa, watanzania watauliwa wakiwa nje ya Tanzania, sio ndani ya nchi yetu, magaidi wanatujua vizuri sana, ndio sababu hawawezi kutujaribu
Siku ya kwanza kuchungulia jukwaa la siasa ili kuthibitisha haya. Nimeona Uzi umefunguliwa huko ,kuna magaidi wameua watzedi huko mtwara.
Pumzikeni kwa amani
Hawa watu walianza amboni tanga wakafeli, wakaenda kibiti pwan wakafeli, wakakimbilia huko Mozambique.. na ndiko waliko fanya haya mauaj sio hapa
Hatukatai n wakatili but ni ngumu sana wao kufanya hayo mambo hapa, ngumu sana
Bwahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...wacha ma feelings bana...tangu lini tanzania ikawa na wanahabari shupavuShida kuanzia muandishi wa article mpaka kwa wasomaji. Muandishi kaandika
ISIS Terrorists in Mozambique Behead and Kill 11 Tanzanian Civilians
it should be
ISIS Terrorists Behead 11 Tanzanians in Mozambique.
aliyeandika article hii, lazima atakuwa ni mkenya. Maana ndiyo wenye kiingereza kibovu.
Uhuru na Rutto wamefadhili sana terrorists na kuwauwa wapinzani wao huku wakisingizia ni terrorists attacks. Sasa wamekorofishana naona terrorists wametumwa kwenda kumuua Rutto.Naona albini huaga wanawindwa congo!!sasawa...
Ccm hoyeeee...
Bwahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...wacha ma feelings bana...tangu lini tanzania ikawa na wanahabari shupavu
Aaaaweeeee!!!kw juhudi za ccm au?Hivi tunaomba idhini tu kwa bwana Nyusi ili tuvuke kuwashughulikia.
Kw faida gani haswaUhuru na Rutto wamefadhili sana terrorists na kuwauwa wapinzani wao huku wakisingizia ni terrorists attacks. Sasa wamekorofishana naona terrorists wametumwa kwenda kumuua Rutto.
Aaaaaweeee!!!naona mko level za cnn siku hzTeh teh
You must be suffering from psychological bias known as stereotyping and generalizing.
Vitu vinabadirika kwa kasi bro.
Aaaaweeeee!!!kw juhudi za ccm au?
Mi hta sijakuelewa unaongea nn...Kdf kwena Somalia na kufail miserably, is a making of jubilee ama?
Uachege ujinga siku nyingine.
Mi hta sijakuelewa unaongea nn...
Lkn nata mwenzio anijibu swali langu..manake kila kitu kwenu ni juhudi ya ccm...kenya ya 80s(nyayo era)
Hoja imekushinda sioKakojoe ulale. Maana kumbe tunaongea na a boy who want to go to bed.
Bye.
Mkuu..we kalale tu..manake unajipigisha kelele bure hapakuna video moja nimeifuta kitambo. hawa wendawazimu walishasemaga hawana tatizo na Tanzania. kuna ingine wakasema wataanzia zanzibar. sijui makorokocho gani. ila subirini muone. we know how to break hawa wendawazimu. kumbukeni tanzania hakuna ukabila wala matabaka. watu wanaongea na hakuna siri. yaani watanzania tutashirikiana na tutawafanya mbaya hawa mazombie. hawatoamini