ISIS Terrorists Behead and Kill 11 Tanzanians.

Those are your words you lazy witch. I have asked to prove it for me using a credible evidence.
Hahahaha, credible evidence?. The best credible evidence is peace and tranquility which we Enjoy. Haha haha.
 
Kismayu wasomali wanadunda kishenzi...
[/URL]
 
Hahahaha, credible evidence?. The best credible evidence is peace and tranquility which we Enjoy. Haha haha.
Naona kw intelligence mko zaidi ya FBI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakichofanywa kibiti wanajua ndo maana walikimbia na kwenda huko na wamegusa mama kulipiza kisasi na soon wataenda tandikiwa huko huko waliko kimbilia
 
kuna video moja niliiona sema nimeipoteza. nikiioata nitarisha hapa. jinsi police kenya wanavyokimbia kwa uoga. nilicheka sana
Iko moja polisi wa Kenya kavua hadi gwanda ili asitambulike na magaidi
 
Aaaaah aaaah aaah kuna wakenya wengi saana nao magumashi kwenye kizungu braza....



Sasa sijui wanafeli wapi majirani.

Aaah aaah wakenya ni wazembe saana dah
 
Westgate polisi kenya walipigana hadi risasi...

Aaah aaah aah tena ni special force iyo iliyokuwa trained na waisrael...

Alafu mavi matupu... Wanaacha kuokoa raia.... Wenyewe wanagombania UKUU.

Kenya washamba saana
 
Ndugu, kwa binadamu anaejua na kuthamini utu, kamwe hawezi kufurahia mauaji ya aina yoyote, sisi watanzania tunaojitambua hua tunaumia sana tunaposikia ndugu zetu wa kenya kwa mauaji yanayofanywa na magaidi, hao wanaocheka na kufurahia ni wavuta bangi na vichaa, na sio watanzania material,
 
Uliza, huo unyama wamefanyia ndani ya Tanzania?. Ndio sababu watanzania wanapoishi nje ya Tanzania wanakuwa hawana uhakika na maisha yao.

Yaonekana hao materroristi walikuwa wafanye mashambulizi Dsm kama Ubalozi wa Marekani ulivyotoa dokezo ila kwa sababu ya kukosa wakati muafaka wakutekeleza na ulinzi uliopo Dsm wakatonya kundi lao lililopo jirani Mozambique baada ya kuvuka mto Ruvuma, wakawatafuta wa Tanzania nje. Normally ISSI and Al- Qaida have created terror cells in several countries after the defeat of ISIS in Iraq and Syria, the foreign recruits returned to their home countries and created “CELLS”! and are indoctrinating fellow country citizens at the same time planning terror attacks! To imprison them is a technical error as they will automatically and aggressively impart the ISSI, Al-Qaida doctrine to inmates, solution is for them to face the guillotine,! China, Indonesia, Saudi Arabia, Iraq, Syria are giving such criminals the right justice.
 
Usijipige kifua sana boss, if it occured that terrorists were to target dar, im not sure you will be very successful as you complain, kumbuka hao mazombie wamekuja kufa as well
Dar iko na nini ndio iwe target? Terrorists target at important places to hit sio takataka za Dar
 
Hujielewi, nipotezee.
Uliposema maombi hayasaidii, ulikuwa unajielewa kweli?
Westgate polisi kenya walipigana hadi risasi...

Aaah aaah aah tena ni special force iyo iliyokuwa trained na waisrael...

Alafu mavi matupu... Wanaacha kuokoa raia.... Wenyewe wanagombania UKUU.

Kenya washamba saana
Washamba ni nyinyi mnaovuta mkia kwa kila jambo
Kule YouTube huwa mnasema wakenya wauliwe waishe wote. Eti hawajulikani walikotoka coz wana sura mbaya.
 
Nice one
 
Kule YouTube huwa mnasema wakenya wauliwe waishe wote. Eti hawajulikani walikotoka coz wana sura mbaya.
[/QUOTE]
Usi conclude kuwa ni watanzania wote, hao ni wavuta bangi na vichaa, ambao hata europe pia utawakuta wapo
 
Kweli wewe duduwashwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…