ISIS wanajikusanya syria kumdunda assad

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
3,915
Reaction score
6,272
Wale wamba wanaojinasibisha na uislam ilhali mate do yao siyo, wanajipanga kumuondoa madarani Assad
Jamaa hao ambao waumiapo huenda kutibiwa Israel, wameonekana kuwa na morali safari hii

Syria ni njia inayotumika kupeleka silaha gaza na lebanon.

Wakati huohuo netanyahu na msaidizi wake waliondoka muda mfupi tu baada ya kikao cha namna ya kumdunda Iran kuanza. Wanusaji wanadokeza kwamba huenda wanagenzi wa kizayuni hawakutaka matatizo zaidi na Iran

 
Wazayuni wameamua vita mashariki ya kati walitegemea kuwaonea wapalestina kila siku wakae kimya sasa watu kuanza kuwatetea wao hawataki sasa hizi zile nchi zote wanafiki watajulikana hapo middle east
 
ISIS watapelekewa moto mpaka make wake Israel
 
Sio kweli, kila siku Israel anashambulia kambi ambazo ni affiliated na Iran hapo Syria.
Nilimaanisha wanajuana kitambo, halafu mashambulizi ya israel ni kama fataki za wahindu,hayana maana, hizbullah anavyoshambulia ndani israel huko,kila siku roketi 250-300,hadi waziri wa mambo ya nje/ulinzi marekani kashauri diplomasia
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-13-09-10-52-764.jpg
    435.6 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…